Kuna uwezekano wa HELSB kupunguza Mkopo?

Jovin john

Member
Oct 13, 2020
14
45
Naomba kuuliza mtu Akipata Sup anaweza punguziwa asilimia za mkopo wake?

Pia mtu anapomaliza mwaka mmoja kwenda mwingine anaweza kuongezewa asilimia kama alikua amepewa asilimia kidogo?
 
kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
1,872
2,000
kwa kila sup moja unapunguziwa asilimia 15%, unapoenda mwaka unaofata unaongezewe asilimia 20% ya mkopo, kazi kwako kukazana kusoma ili mpaka unamaliza shule japo uwe umetoka na kiwanja + vyumba angalau viwili vya kuanzia maisha
 
SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
5,964
2,000
Is this official !!?
Kwenye mkataba gaya unayosema yapo!?
kwa kila sup moja unapunguziwa asilimia 15%, unapoenda mwaka unaofata unaongezewe asilimia 20% ya mkopo, kazi kwako kukazana kusoma ili mpaka unamaliza shule japo uwe umetoka na kiwanja + vyumba angalau viwili vya kuanzia maisha
 
Jovin john

Member
Oct 13, 2020
14
45
kwa kila sup moja unapunguziwa asilimia 15%, unapoenda mwaka unaofata unaongezewe asilimia 20% ya mkopo, kazi kwako kukazana kusoma ili mpaka unamaliza shule japo uwe umetoka na kiwanja + vyumba angalau viwili vya kuanzia maisha

Asante mkuu
 
spectator Ion

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
294
250
kwa kila sup moja unapunguziwa asilimia 15%, unapoenda mwaka unaofata unaongezewe asilimia 20% ya mkopo, kazi kwako kukazana kusoma ili mpaka unamaliza shule japo uwe umetoka na kiwanja + vyumba angalau viwili vya kuanzia maisha
Lies
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
3,397
2,000
kwa kila sup moja unapunguziwa asilimia 15%, unapoenda mwaka unaofata unaongezewe asilimia 20% ya mkopo, kazi kwako kukazana kusoma ili mpaka unamaliza shule japo uwe umetoka na kiwanja + vyumba angalau viwili vya kuanzia maisha
😅😅😅😅 sasa pesa zingesha isha mkuu 15%
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,665
2,000
kwa kila sup moja unapunguziwa asilimia 15%, unapoenda mwaka unaofata unaongezewe asilimia 20% ya mkopo, kazi kwako kukazana kusoma ili mpaka unamaliza shule japo uwe umetoka na kiwanja + vyumba angalau viwili vya kuanzia maisha
Akili za kupewa changanya na zako mtoa mada
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,665
2,000
Naomba kuuliza mtu Akipata Sup anaweza punguziwa asilimia za mkopo wake?

Pia mtu anapomaliza mwaka mmoja kwenda mwingine anaweza kuongezewa asilimia kama alikua amepewa asilimia kidogo?
Hakuna kupunguziwa mkopo hata kama unasup 7 cha msingi tu nikuzisapya ila mkopo wako uko pale pale kama ulikuwa unapata 520k ni hiyo hiyo mpaka umalize chuo labda tu kama umepata sup 12
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom