Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Haya vijana changamkieni nafasi hizo. kama ulikosa October intake itumie nafasi hii. SWALI: Vyuo vya serikali hasa vya Afya navyo vinahusika?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jifunze maswali ya interview kuhusu Practical ya Microsoft word... fuata link hapo chini https://m.youtube.com/channel/UCCTZ8iCy4CaUI4oxDJcO7_Q Maswali ya ni possible kuulizwa kwenye usahili si...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama ambavyo tunaona siku hizi matokeo wanawekewa online unatazamia ukiwa kitandani. Tofauti kidogo nasie wakongwe wa enzi hizo kulikuwa hakunaga cha mambo ya kuwekewa online bali mnabandikiwa...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wakuu, nawasalimu! Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16...
4 Reactions
58 Replies
8K Views
Hivi utaratibu wa kuomba vyuo vya serikali kwa ngazi ya cheti na diploma kwa walomaliza kidato cha nne mwaka jana uko vipi? Wanaomba kupitia nacte au chuoni moja kwa moja.Mwenye taarifa juu ya...
0 Reactions
14 Replies
22K Views
Habari zenu wanajamvi. NILIKUA naomba msaada kwa anayejua kitabu kizuri cha Electrical Engineering ambacho kinahusu Umeme wa viwandani na system zake ili niweze kukidownload. Ni hayo tu.
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Arusha yasika nafasi ya kwanza, Kilimanjaro ya pili na iringa nafasi ya tatu matokeo ya kidato Cha nne yaliyotangazwa juzi
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba uzi uwe safi, udini usiingie humu, nazungumzia shule za kiislam sio dini ya kiislamu, maana huko kweny shule hata walimu wakristo wapo, ila huwezi kumkuta mkristo kwenye dini ya Kiislamu...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari inayobamba kwa sasa kuhusu Elimu yetu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya darasa la 4, darasa la 7 na kidato cha 4 ni kuhusu mkoa wa Mtwara kuingiza shule 9 kati ya 10 kwenye orodha ya shule...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninaomba kufahamu ni kozi gani za degree ambazo sina soko kwa vijana waliosoma comb. ya E.G.M kwa sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Appeal ya bodi ya mikopo imetoka tokea tarehe 24 lakini wamesema tu ni watu 2000 lakini hakuna pdf ya majina sasa mtu atajuaje km kapewa? Pili wanasema watu wachek kwa account zao akaunt zipo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari Wana jukwaa la elimu, je Patandi teachers college inatoa diploma ya special education; na kama inatoa naombeni maelezo jinsi ya kufanya application.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Shule nyingi za serikali hata zile za private ufaulu katika Hili some ni mdogo Sanaa. Tatizo ni nini? Au necta wana kaza pepa ili wanaofaulu kwenda kidato Cha tano wawe wa Chache kwa kuwa Hili...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeona Referred ana Repeat, zinamaanisha nini?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nasikia kuna umoja wa maendeleo ya kata Bwanjai, hata juzi mlifanya mkutano (BWANJAI DAY) wa kuona namna ya kusaidia maendeleo ya Bwanjai. Nadhani pa kuanzia ni hapa shuleni! Diwani Phocus...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nilipeleka mgonjwa pale kituo cha afya UDSM-Main Campus. Tukiwa pale Kama masaa MAWILI mfululizo. Panapigwa muziki kwa kelele zote. Najiuliza wanafunzi na wagonjwa wanawezaje kuhimili Yale...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya ndo matokeo halisi ya shule zilizozagaa mitandaoni kuwa zimekuwa za mwisho katika mitihani ya kidato cha nne 2020. 1. S 3110 Chingungwe ina div I 1, II 1, III 8, IV 27, 0 2. Na imeshika...
1 Reactions
1 Replies
785 Views
toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa! Naomben ushauri wenu Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26 Kiswa B, English C, Lit Engl D Bios, Civics, Geog---- D Hist F and Math F Je, anaweza kwenda kusoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nauliza ni vyuo vipi ni vizuri kwa kusoma diploma ya udaktari(clinical medicine)?
0 Reactions
20 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…