toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,607
- 4,771
Appeal ya bodi ya mikopo imetoka tokea tarehe 24 lakini wamesema tu ni watu 2000 lakini hakuna pdf ya majina sasa mtu atajuaje km kapewa?
Pili wanasema watu wachek kwa account zao akaunt zipo empty kwa kila mmoja hakuna notifications zozote zile wala taarifa yoyote ile haionekani hapa dogo analalamika tu.
Kuna mnaosema mshajua mmepata au mmekosa kwenye hii rufaa ya bodi yaani appeal window vipi mmefahamu vipi?
Nambieni.