Msaada kozi zenye soko

Msaada kozi zenye soko

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninaomba kufahamu ni kozi gani za degree ambazo sina soko kwa vijana waliosoma comb. ya E.G.M kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio vijana tulionao tz ya leo,eti yenye soko?

Course imeanzishwa kwasababu inasoko kama isingekuwa na soko ingefutwa kabisa.isingekuwepo .kila course inasoko.

Unatakiwa uangalie unapenda kazi gani kufanya na sio soko.na ambayo unauwezo nayo.na sio kufata soko(hela)

Unachomaanisha wewe kuwa na soko,kila mtu atasoma hiyo course kwenye kazi mtakuwa wengi mtaishia kukaa mtaani na kulalamika hakuna Ajira.
Watu wote wangekuwa kama wewe kusomea course zenye soko tu nchi sijui ingekuwaje?

Tz inasafari ndefu sana na vijana wake wengi awajielewi. Eti kozi zenye soko.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ningetumia neno kujiajiri au kuajiriwa naona ningeleweka vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani na mimi naomba msaada wa kozi nzur maana nimesomea masoma ya art nina division two ya 18
 
kasomee law au procurement hapo hautapata tabu sana mtaani kutafuta kazi na ukipata kidogo inakuwa uhakika
 
Back
Top Bottom