Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

The College History in brief. The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself. It was soon after Independence on 9th December 1961...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda. Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge...
24 Reactions
152 Replies
13K Views
Ivi inakuaje mtu unapply chuo kinaitwa St. Joseph then ukiingia unapelekwa institute unaitwa MARY IMMACULATE INSTITUTE OF TECHNOLOGY is this fair jaman vijana baadhi tunapata changamoto kubwa juu...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Mimi nlikuwa ni mwanachuo wa chuo Kikuu huria lakini nilipofika mwaka wa pili niliandika barua ya kusitisha masoma na kuondolewa kabisa kwenye system ya chuo hicho ili niweze kujiunga na vyuo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Maana likizo zote siku hizi hakuna watoto wanasoma muda wote likizo fupi zote imefutwa kiaina watoto mpaka wanachoka balaa, maafisa elimu wanakomaa eti watoto wasome wala hawaangalii kupumzika...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari Wana JF, Inawezekana Mining engineer kusoma master of civil (structural) engineering? Na Kuna uwezekano wa kupata fully funded sponsorship ya kusoma master?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Swali la kwanza limekosewa http://www.math.ubc.ca/~israel/m215/roo/ Jibu lake liko kwenye attachment hiyo hapo chini. Ni jibu na si njia ya kufikia jibu hilo. Aliyefanya swali hili atakuwa...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Wakuu samahanini hivi awa madalali Sioux wa nyumba makubwa au hisa ambao ni binafsi na serikalini huwa wanasomea au ni ujuzi binafsi?
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimefanya field nimemaliza ofisi fulani ya Serikali cha kushangaza wanatupiana mpira kunijazia log book! Hadi sasa hivi sijajaziwa kila mtu hataki kunijazia, nifanyeje?
5 Reactions
75 Replies
12K Views
Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
1 Reactions
13 Replies
6K Views
#Hoja_Ya_Wanafunzi_wa_UDOM ( By Mh. Halima Mdee, MB) Watu wengi wanaohoji nini kiini cha tatizo la wanafunzi wa UDOM? Wamefanya nini? Kwanini wamefukuzwa? Kwanini iwe usiku wa manane? Nini hatma...
16 Reactions
48 Replies
10K Views
Kuna scholarship kuanzia Bachelor's degree. Fuata maelekezo. Kila la kheri! We are thrilled to announce that PolyU is still open for applications for its PolyU Entry Scholarship, which are...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Read the following poem and then answer the questions that follow: Your pain Yet more my pain Shall suffocate oppression Your eyes Yet more my eyes Shall be speaking of revolt Your scars Yet...
2 Reactions
13 Replies
32K Views
Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ardhi wajawa hofu 2008-07-28 16:02:48 Na Job Ndomba,Jijini Wanafunzi zaidi ya 150 wa Chuo Kikuu cha Ardhi wamejawa hofu ya kukosa sifa za kuendelea na masomo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania naomba kuwauliza, Hivi mtihani wa darasa la nne unalipiwa ada? na ni shilingi ngapi
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mdogo amepata nafasi ya kwenda kusoma chuo nchini India ,mpaka sasa ana mwaka na zaidi yaani toka mwaka Jana janga la Corona lilipoanza mpaka sasa.Vyuo vingi nje nchi India vimefungwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu kwema, naomna msaada wa shule nzuri (mazingira na performance) za kidato cha tano na sita zinazopatikana mkoani Kilimanjaro na Arusha Note - Iwe boarding - Mchepuo wa science na biashara...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu! Naomba kujua shule ya serikali nzuri ya msingi inayofundisha wanafunzi wenye ulemalevu wa akili Mkoa wa Mwanza. Ikiwa ya boarding itapendeza zaidi. Asanteni.
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…