saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,163
- 6,143
Ndugu zangu watanzania naomba kuwauliza, Hivi mtihani wa darasa la nne unalipiwa ada? na ni shilingi ngapi
Elimu bure Sasa ada INATOKA wapi au unasomesha shule za mtakatifu nani tuanzie hapoNdugu zangu watanzania naomba kuwauliza, Hivi mtihani wa darasa la nne unalipiwa ada? na ni shilingi ngapi
Itakuwa ni ya mock wilaya na mkoa.Huku wilayani kwetu Mbulu Mkoani Manyara tunachangishwa Tshs 6,000/= kila mtoto, Nilitaka kujua kama ni mradi umeandaliwa au ni suala la kitaifa
Slow slow anakuambia elimu ni bure ila wazazi wakiona busara kuchangia, wanaruhusiwa tu!Huku wilayani kwetu Mbulu Mkoani Manyara tunachangishwa Tshs 6,000/= kila mtoto, Nilitaka kujua kama ni mradi umeandaliwa au ni suala la kitaifa