Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu ,poleni na majukumu ya kazi. Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu kuna dogo alikuwa alikuwa anasoma bachelor degree mwaka 2023/2024 chuo cha st john lakn alikapiliwa na changamoto...
1 Reactions
2 Replies
214 Views
Kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chuo cha Usafirishaji cha Taifa kimepewa dhamana ya kuendesha mafunzo ya kozi mbalimbali kuhusu usafiri na usafirishaji pamoja na kozi kuhusu wahudumu...
0 Reactions
339 Replies
185K Views
Wana JF, poleni na majukumu… Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa...
1 Reactions
1 Replies
201 Views
Nisiadie kunijulisha wapi ntavipata vitabu hivi!
2 Reactions
3 Replies
540 Views
Wakuu, natamani kujiendeleza kimasomo, nimeona chuo Rwanda kimenifaa( UNIVERSITY OF RWANDA) Hasa kwa ada Ila kwa huko mda unaongezeka toka miaka mitatu huku kule ni minne, swali TCU watakikubali...
1 Reactions
9 Replies
852 Views
FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN (SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN) Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali za...
0 Reactions
2 Replies
537 Views
Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda...
14 Reactions
42 Replies
2K Views
Nili apply diploma in clinical dentistry na nikachaguliwa Tanga collage. Sasa jana trh 5/8 zilitumwa code(msimbo) za ku_verify taarifa NACTEVET lakini mimi sikutumiwa. Nisaidieni kwa anae Juan hii🙏
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Flexible Staking, hizi huwa faida ndogo na risk ndogo kwa kuwa unaweza kutoa muda wowote unaotaka. Sio lazima uweke kufikia siku zote za plan hiyo ya investment. Locked Stakings, Hizi mara nyingi...
1 Reactions
4 Replies
561 Views
Kwa miaka 90 kurudi chini ilikuwa ngumu kuona shule za msingi zikiwa karibu na sekondari hii iliwapa watoto kutamani kufika sekondari wakimaliza shule ya msingi wanapokutana na wakubwa wao. Kwa...
1 Reactions
6 Replies
385 Views
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa...
2 Reactions
14 Replies
985 Views
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa...
1 Reactions
1 Replies
419 Views
Tunafundisha wanafunzi wa ngazi zote (mitaala yote) popote ulipo Tanzania. Tuna walimu wenye uzoefu, waaminifu, na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi. ✔ Masomo ya sayansi na arts ✔ Mitihani ya...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums, Naomba mwenye uelewa zaidi kwa kozi ya civil engineering na geomatics anisaidie kufanya comparison Kwa nyanja mbalimbali. Mfano marketability, ushindani...
2 Reactions
4 Replies
707 Views
Hello! Tafadhali naomba naomba wale wote wenye maswali kuhusu research proposal, dissertations, data analysis, SPSS na mengine yoote yanayohusu academic research uliza hapa! Pia maswali...
6 Reactions
111 Replies
13K Views
Nimepita kwenye mitandao nikastaajabu mtu anauliza kwa nini watu waandamane, eti waandamanaji wanatafuta Haki hipi licha ya Miundombinu, Afya, Elimu, Ajira na Amani kuwepo. Nikaona pia ni kundi...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Heshima kwenu Wakubwa Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU Nirudi kwenye mada kuu wadau...
14 Reactions
91 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kupata mawazo yenu kuhusu hili. Mdogo wangu amefaulu vizuri kidato cha sita akiwa na combination ya PCB, lakini amepangiwa kusoma chuo kimoja huko Dodoma Bachelor of Commerce...
2 Reactions
58 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha ubaharia (DMI) )kozi zake kina anzia pesa kiasi gani. === UFAFANUZI NAMNA YA KUJIUGA NA CHUO CHA DMI Applications for admission are invited...
0 Reactions
45 Replies
37K Views
TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…