Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka...
Salamu na kazi iendelee.
Kichwa Cha habari kinasomeka.
Kwa lugha ambayo sio pendwa ni wale wanafunzi waliofeli.Nikitaka kujua idadi yao nafanyaje wapendwa.
Msaada wandugu.Msije mkasema nina NGO...
Kila sehemu Kila Kona utasikia walimu wamegawiwa VISHIKWAMBI na kusisitizwa wavitumie kwa maswala ya elimu tu! Wengine wameambiwa ole wao watakaovitumia kivingine
Binafsi sipingani na kauli hizo...
Katika maisha Kuna slow learner na fast learner.Sasa Cha ajabu katika masomo yanayohusisha vitendo vyuo vya afya walimu wanakuwa wakali.Ukiuliza swali kwenye practical badala ya kusaidiwa...
Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys...
Kwa wale waliohitimu na waliopo masomoni(ACSEE) . Nahitaji
*experience s za waliofanya mock (advance) kwenye exam room kanda zote mfano EZEB ..n.k
*Na hivi ni kweli inakua ni migumu(Mkoa wa Dar...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nimepokea taarifa walimu wanapewa mikataba Ili kuhakikisha walimu wanapata matokeo mazuri. Mikataba hiyo inaanzia mkoani kuja mawilayani kufika kwa Kila...
Wakuu napenda kuwatafuta Watanzania waliosoma Bournemouth University cha Uingereza. Kama kuna yeyote aliyesoma huko tuwasiliane jamani. Tumesota sana na baridi la Uingereza pamoja na ugumu wa...
Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi...
Habari wanajamii ,hivi ni mbinu gani walizotumia kufaulu vizuri na kupata gpa nzuri ya kwenda degree kwa wale walioanzia diploma za afya kwa vyuo serikali Kama vile phamacy, clinical medicine na...
Kwa hapa JF nani anaweza nisaidia nikapata kitabu kimoja kinaitwa The Black Book au Bukula au Protofee au Book of Shadow.
Hayo yote ni majina ya kitabu kimoja tu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya lugha ya KUFUNDISHIA shuleni wapo wanaosema tutumie kiswahili wapo wanaosema tutumie kingeleza.
Sasa hebu mwenye hoja...
Habari wanandugu,
Hivi kati ya nadharia na vitendo katika kozi ya utabibu wapi ni pagumu zaidi, yaani Kama ni mwanafunzi unakuta anajua nadharia vizuri lakini ukimpeleka kwenye vitendo hajui na...
Wale wanangu wa Tegeta high school ni Pm nikutumie mahela ila nini nataka nifanye party jangwani sea breeze wale wote wa Tegeta high school na majobless tukutane jangwani sea breeze pale...
Waungwana habari za mwaka mpya,
Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE.
Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na...
Habari viongozi? Ni muda kitambo nimekuwa nikifuatilia kujua historia ya chuo kikuu cha Dar es salaam kujua watu waliofanya vizuri zaidi katika kitivo kongwe cha sheria. Kwa ufuatiliaji wangu...
Kanuni ya pili ya Thermodynamics yakanusha Evolution
Evolution Deceit. com - This website is the interactive version of the book "Evolution Deceit" by HARUN YAHYA
KANUNI (Law) ya pili ya...
Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko...