Chukua mbinu hapa utatoboa vyuo afya vya serikali

Chukua mbinu hapa utatoboa vyuo afya vya serikali

DALT

Senior Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
168
Reaction score
77
Habari wanajamii ,hivi ni mbinu gani walizotumia kufaulu vizuri na kupata gpa nzuri ya kwenda degree kwa wale walioanzia diploma za afya kwa vyuo serikali Kama vile phamacy, clinical medicine na nursing, maana naskia kufaulu vyuo vya serikali kwa GPA kubwa ni ngumu kuliko vyuo vya private.tupeni mbinu mliosomea vyuo vya serikali na kutoboa mpk degree

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Bwana mdogo, mbinu kuu ni kusoma kwa bidii, utii na heshima kwa walimu wako bila kusahau kumuomba Mungu siku zote.!
Kusoma kwa bidiii ndo nn?
Apa chuoni kunawatu wanasoma mbaya (kilawakati)na awatoboi
Labda mtupe njia sahihi na maana sahihi ya kusoma kwa bidiii

Na utakuta mtu anajua vingi mpaka mnamwita Md ngoja pepa ijee

Me inshort najiulizaga Sana
Kunasiri gan kwenye kufauru Sanaa(kupata GPA kubwa )

Mtupe Siri kama mnajua
 
Kusoma Kwa target hasa mwaka wa mwisho kusomea codes hasa anazofundisha mwalimu Na zile modules za wizara zile master Kila kitu kichwani utanishukuru baadae hakuna uchawi mwingine
 
Back
Top Bottom