Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu poleni kwa majukumu, Naomba sana msaada wa kujua kuhusu kozi hii, maana nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo cha NIT ili nipakue lakin prospectus yao nimeikosa kabisa hivyo nimeshindwa...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Sijawahi sikia Manesi au mapolisi au Watendaji wakijengewa Nyumba au Mabwana Shamba,Kila siku ni Walimu tuu.. Je walimu ndio Watumishi saaana kuliko wengine?
0 Reactions
8 Replies
938 Views
Kwa yeyote mwenye changamoto na anataka kusoma masomo ya Fizikia au Hesabu kwa kidato cha kwanza hadi sita awasiliane nami.
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu chuo cha VETA Mara. 1.Chuo kinatoa mafunzo ya Ufundi bomba (Plumbing and Fitting)? 2. Iwapo kozi hii ipo. 3. Sifa za kujiunga ni zipi gharama zake zikoje? 4...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakubwa shikamooni!! Wanajamvi naleta huu uzi mwenye kujua hii course ya B.A.Economics ya UDSM anieleze ina opportunity zipi za kazi kwa sababu mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na...
0 Reactions
45 Replies
11K Views
watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwa aliefanya hii process naomba kujuzwa hatua, sababu wenyewe hawapokei simu dogo kapata chuo cha IFM DSM campass. Nimesikia kuna ishu ya kukomfirm nimeingia kwenye dashboard Lao hakuna iyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu habarini za asubuhi? natumaini mko poa kaisa. EE bwana wana JF naombeni msaada wa informations. Naombeni kama kunamtu yeyote mwenye taarifa za namna ya kupata scholarship ya MA iwe kule...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Kuna kijana wangu kapata four ya 26 anataka kusoma Course ya MARINE TRANSPORT & LOGISTIC. Wajuzi wa hii Course naombeni uzoefu wenu ktk soko la ajila. Nawasilisha
5 Reactions
38 Replies
4K Views
wakuu habari za asubuhi..naomba nipate elimu hapa kuhusu jambo mmoja Kupata lecence ya nurse na kutambulika kama nurse kamili Kuna rafiki yangu hapa kaniomba niulize hili swali Yeye degree...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Mimi ingelikuwa ninamshauri Rais leo ningeliweza kumuambia kidato cha 5&6 iwe X hawa waende VETA wakitoka hapo ndiyo anayetaka kwenda Chuo Kikuu aende, angalau mtu awe na uwezo fulani kabla ya...
1 Reactions
4 Replies
464 Views
Habari za mda huu wadau, Nianze kwa kuwasalimia wote na kuwapa pole mihangaiko ya hapa na pale(Ishu ya bandari na kupotea kwa Esther). Nirudi kwenye mada,kuna hizi semina za walimu wa science na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari ya asubuhi! Ndugu zangu Mimi ni mmoja wa Kijana niliyepitia shule za seminary. Hizi shule japo zina weaknesses zake lakini ni nzuri kumuandaa mtoto hasa katika Makuzi ya kiroho ! Kuna...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama wewe ni Mwanafunzi wa chuo chochote nchini Tanzania, basi naomba tushare Application kabambe unayotumia katika kufanya kazi zako na inakurahisishia kiutendaji kazi.. mfano Assignments...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Haya wale wenzangu wa UDSM especially wahandisi wa CoET , jana matokeo ya semester ya kwanza yalitolewa. Nimeshuhudia matokeo ya department ya CME yakiwa yamebandikwa na soon yatawekwa ARIS...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
0 Reactions
30 Replies
4K Views
I want to know kati ya Clinical Medicine na Nursing ipi nzuri kusoma kwa wakati huu?
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…