D DENAMWE JF-Expert Member Dec 29, 2019 807 808 Jun 29, 2023 #1 Nahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu chuo cha VETA Mara. 1.Chuo kinatoa mafunzo ya Ufundi bomba (Plumbing and Fitting)? 2. Iwapo kozi hii ipo. 3. Sifa za kujiunga ni zipi gharama zake zikoje? 4. Nahitaji mengine ni yapi?
Nahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu chuo cha VETA Mara. 1.Chuo kinatoa mafunzo ya Ufundi bomba (Plumbing and Fitting)? 2. Iwapo kozi hii ipo. 3. Sifa za kujiunga ni zipi gharama zake zikoje? 4. Nahitaji mengine ni yapi?