wakuu habari za asubuhi..naomba nipate elimu hapa kuhusu jambo mmoja
Kupata lecence ya nurse na kutambulika kama nurse kamili
Kuna rafiki yangu hapa kaniomba niulize hili swali
Yeye degree yake kasoma nurse..
lakini master yake kachukuwa public healthy , anataka kuomba chuo cha afya.
Ili akasomeshi wanafunzi wa NURSE
Je chuo kinaweza kumtambua kwa degree yake au kwa master yake?
Na vipi TMNC mtu kama huyu watamtambua na kumruhusu a re new lecence yake kama NURSE?
Au watamkatalia?
Nashukuru