Mathias Emma
Member
- May 31, 2017
- 34
- 72
EGM
Yaan kila mtu na kichwa chake lakn kama mimi mtu akiniambia math, chemistry n ngumu simuelew kbsaa ila na mimi sijui history na civics sijawahi kuelewan navyo
Umelewa?Hivi kusoma advance mathematics two kwa mwez mmoja kbl ya mitihan inawezekan kwl
Tuanze na wewethread ya wasomi .. acha nisome comments nijue watu gani Arts na watu gani science na watu gani biashara
Mie mshamba mmoja tu, wa darasa la tatu C... hayo mambo yenu wasomi yamebikalia kushotoTuanze na wewe
Uko kitengo gani hapo
Haiwezekani. Japo EGM ni combination rahisi sanaHivi kusoma advance mathematics two kwa mwez mmoja kbl ya mitihan inawezekan kwl
sema msomi tukusikie, EGM unaona ya kupata one ya point ngapi kama wewe hapo mtaalamuHaiwezekani. Japo EGM ni combination rahisi sana
Wewe umesoma mass communication,number unaziwezea wapi?huna kichwa hichoKila mtu na kichwa chakee, wenginee tulikua vizuri kwenye mambo ya namba namba,
Tukija kwa kujieleza tunapapasia.
EGM simple but.
Uko timamu kweli mkuu?Hivi kusoma advance mathematics two kwa mwez mmoja kbl ya mitihan inawezekan kwl
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sema msomi tukusikie, EGM unaona ya kupata one ya point ngapi kama wewe hapo mtaalamu
Una uandishi mbovuGeography inaboa story zake hizo pigo sio kabisa, sikuona connection ya pesa na geography, nchi zingine vwanasoma, PEG/M, combination za kusoma A level Uganda tamu sana ukutane na walimu vichwa vimetoka Budo School dadadeki nice experience.
Geography jau sana