Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna fucult zifuatazo zinanipa kiwewe kuzielewa.... 1.Bachelor of Arts in Education 2.Bachelor of Education in Arts ipi inayobeba somo 1 la kufundishia?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau hebu tujuzane hapa. kwa kiasi fulani mimi ni mdau wa hizi mambo from web za torrentz, nlichosikia kwa baadhi ya watu ni kwamba hizi webs zina alot of malwares thats why walio wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
heshima yako. mimi ni mhasibu nipo Korogwe napenda kufanya mitihani ya Bodi nikianzia module E, tatizo nililokuwa nalo kwa mkoa wa Tanga hakuna review center; kwa maeneo ya mikoa jirani kama DSM...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Walimu walio wengi walitegemea kushiriki ktk zoezi la sensa lakini kutokana na serekali kuwacha na kuchukuwa watu wa kada nyingind kwa kinachodaiwa ni kushiriki ktk mgomo kwa maoni yangu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHUO GANI KIZURI DSM, UKIACHILIA MBALI UDSM,OPEN NA Dit
0 Reactions
8 Replies
2K Views
loan board mkopo lini
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama walivyofanya wadau wa udom hapa jamvini..na wale basi wanaoijua muhas vizuri au waliokwishasoma hapo tupeni wadogo zenu ushauri wa bure jamani..
0 Reactions
0 Replies
987 Views
News ANNOUNCEMENT TO PROSPECTIVE APPLICANTS WHO WERE NOT SELECTED IN ALL OF THEIR PREFERENCES AND ALLOCATED TO OTHER PROGRAMS TCU informs applicants whose...
0 Reactions
1 Replies
15K Views
am soory,,join instruction letters tunaanza kuchukua chuoni tarehe ngapi na office gani?????
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nimepangiwa SA002 Bachelor of Arts in Public Relations and Marketing St. Augustine University of Tanzania je Ni Tawi la Mwanza au Ni Lingine????
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kwenye Profile yangu imeandikwa Admitted in Bachelor of Arts in Public Relations and Marketing at St. Augustine University of Tanzania je Itakuwa Na Mwanza Au Matawi yao Mengine???
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani mimi nimechaguliwa udsm kwa master program na niko Sumbawanga nitapataje hostel kwa campus ya mlimani? Msaada please, joining nimepata regstration inaanza tar 17 Septemba.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UNIVERSITY OF DODOMA DEPARTMENT OF STATISTICS SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS (To be conducted in MWANZA) The Department of Statistics, School of Mathematical...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cheki web ya tcu, but nayo naona yaleyale maana maelezo yao hayajitoshelezi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
matokeo ya semista ya kwanza hapa St. Augustine yametoka jioni ya leo, mazuri kiasi! Sio mabaya sana
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Jamani wale wa IFM tujuane wakuu
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Kwa yeyote mwenye kujua nafasi za hosteli zinazopatikana maeneo ya sabasaba ndani naomba atufahamishe sababu tupo wanafunz wengi tuliokosa hosteli....Angalizo ni vyema tukafahamishwa gharama za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wanamanya opening day kwa 1st year muhas nisaidieni ili nianze kujipanga kimshiko coz huenda nikabaniwa boom maana nilisahau kuweka sign ya mdhamini!
0 Reactions
0 Replies
989 Views
jaman nngependa kwa wale 2liopangwa insitute of accountancy arusha 2juane hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Litakuwa jambo jema kama tukijua siku ya kufungua tujiandae mapema maana hapo ni pesa tu!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…