T thinka JF-Expert Member Aug 1, 2011 334 148 Aug 21, 2012 #4 Karibun sana ifm si tupo pale tunamalizia malizia.
B Best Mzava Senior Member Jul 20, 2012 135 10 Aug 21, 2012 Thread starter #5 Wakuu mimi nimepangwa hapo IFM Bachelar of science in social protection,naomba msaada kwa anayejua kuhusu soko la ajira ya hii cozi
Wakuu mimi nimepangwa hapo IFM Bachelar of science in social protection,naomba msaada kwa anayejua kuhusu soko la ajira ya hii cozi
Lhey Member Jun 18, 2012 27 6 Aug 21, 2012 #8 na mimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:A S 465:
Jerry de Marco JF-Expert Member Aug 16, 2012 213 41 Aug 21, 2012 #11 john chammy said: mm pia nipo hapo bachelor of accounting Click to expand... pmj xana kaka,katika bachelor of accounting pand za IFM
john chammy said: mm pia nipo hapo bachelor of accounting Click to expand... pmj xana kaka,katika bachelor of accounting pand za IFM
Zeddicus JF-Expert Member May 5, 2012 627 534 Aug 21, 2012 #13 Nipo hapo mambo ya Insurance and risk management
B Best Mzava Senior Member Jul 20, 2012 135 10 Aug 21, 2012 Thread starter #14 Wakuu wenzangu mwenye tetesi kuhusu tarehe ya kureport atufahamishe bac?
J john chammy Member Jun 28, 2012 37 1 Aug 21, 2012 #15 mwaka wa pil na tatu wanafungua tar 15 mwez wa 10 cjui sasa cc manjuka
B Best Mzava Senior Member Jul 20, 2012 135 10 Aug 21, 2012 Thread starter #16 Asante sana mkuu,2subiri waweke join instractiön kwenye web yao
J joe chinsi New Member Aug 12, 2012 1 0 Aug 21, 2012 #17 iv bachelor f science in compt science vp market yake wakubwa?
gbrother JF-Expert Member Mar 22, 2011 408 51 Aug 21, 2012 #19 YORVIN said: mie pia Click to expand... emu tusaidiane wakuu, jamaa wameni2pa BA ila ktk machaguo yangu cjachagua kabisa ifm, imekaaje hii ki2 jamani?
YORVIN said: mie pia Click to expand... emu tusaidiane wakuu, jamaa wameni2pa BA ila ktk machaguo yangu cjachagua kabisa ifm, imekaaje hii ki2 jamani?