Kuwachwa kwa walimu kwenye zoezi la sensa je kutathiri matokeo ya mitiani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwachwa kwa walimu kwenye zoezi la sensa je kutathiri matokeo ya mitiani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MWAKOLO, Aug 23, 2012.

 1. M

  MWAKOLO JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Walimu walio wengi walitegemea kushiriki ktk zoezi la sensa lakini kutokana na serekali kuwacha na kuchukuwa watu wa kada nyingind kwa kinachodaiwa ni kushiriki ktk mgomo kwa maoni yangu kama kutaathima maendeleo ya wanafunzi kwani wengi wamekata tamaa na kufundisha
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Vihela vya sensa visiwachanganye waalimu. Wanapaswa kuendeleza mapambano kwa mshikamano. Vinginevyo wakikubali kugawanywa au kutishwa na serikali watendelea kuonewa milele. Kwanza wanapaswa kuwa wanagomea kazi kama hizo za sensa na michango ya kulazimishwa inayokatwa kutoka kwenye mishahara yao bila hiyari yao.
   
Loading...