nataka nijinoe kwenye IT

Nenda IFM(Institute of failures management, institute of fashion and modeling) kwa wauza sura wenzio..!!maana kwenye elimu ya maana hupataki!!
 
karibu katika IT field ila jitahid kuelewa mambo na sio kukariri, jitahid kuvijua vitu practical badala ya kung'ang'ania maandishi ili ufaulu pepa tu baada ya kumaliza kuna mtiti mzito
 
CHUO GANI KIZURI DSM, UKIACHILIA MBALI UDSM,OPEN NA Dit

1.new horizons ...........
2.learn it
3.aptech................................ifm,mzumbe,udsm,st.joseph na dit hawana walimu wazuli wa it na hata walimu wao hawana sifa za kufundisha it certifications
 
Back
Top Bottom