Mliotutangulia vyuoni naombeni msaada wenu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mliotutangulia vyuoni naombeni msaada wenu!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mgimiloko, Aug 23, 2012.

 1. M

  Mgimiloko Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna fucult zifuatazo zinanipa kiwewe kuzielewa....
  1.Bachelor of Arts in Education
  2.Bachelor of Education in Arts
  ipi inayobeba somo 1 la kufundishia?
   
 2. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hizo ni bachelor za umasikini(bachelor of poverty in arts and bachelor of arts in poverty)!! utasomaje mambo ambayo hayathaminiwi na serikali yenu au unadanganyika na mkopo asilimia mia 100%....jipangeeeeeeeeeeeeee!!!
   
 3. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kijana kwanza naomba nikurekebishe, hizo ulizotaja sio Faculty kama unavyofikiri, hizo ni degree programme katika faculty au department moja! Hiyo ya kwanza main degree yake ni BA (yaani Bachelor of Arts, so somo la kwanza ni Arts, hiyo ya pili ni degree ya education ( BA.Ed) so somo la kufundishia ni educatiuon sina hakika ila kwa udhanifu wangu ni kuwa wanafundisha walimu wa masomo ya sanaa!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Itawezekana kweli wote tukasomea za utajiri?
   
 5. Sinewy

  Sinewy JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kumbuka kuwa mungu kampa kila m2 kipaji chake so hatulingani acha kashfa
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hizo ni degree programs na sio faculty, hio ya kwanza inaitwa Bachelor of Arts with Education, hapo utakuwa na teaching subjects mbili, hiyo ya pili ni Bachelor of Education in Arts kwenye hii utakuwa na teaching subject moja ila utasoma course nyingi za Education kama Foundation of Education,Curriculum,educational psychology e.t.c
   
 7. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  weh mwenyewe ukweli unaujua!!! acheni kusoma kozi msiozipenda kisa hela za mikopo halafu baadae mnajifanya mnagoma!
   
 8. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Khaa!!! Hapo subiria matusi tu..
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kaka ungefikaje hapo ulipo wasingekuepo wale ticha zako wa Arts? So uckandie bna cha zaidi changia jinc gani serikali ifanye ili thamani yao ipande, na futa hizo ideas. Peace :cool:
   
 10. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sawa bro nimekuelewa!:israel:
   
 11. M

  Mgimiloko Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashkuru kwa kurekebishwa lkn still swali halijajibiwa kabisa,degree program ya kwanza nimeambiwa nimekosea...lkn sijakosea ni hiyohiyo BACHELOR OF ART IN EDUCATION na ndo nimechaguliwa St.Johns.....so kusema nimekosea sio sawa ila wewe ndo huijui....
   
 12. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaza buti.
   
 13. Ukwelinauhakika

  Ukwelinauhakika Senior Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  hayo ni majina yenye maana zinazokaribia,kwa SAUT inaitwa bach.of arts with education na masomo mawili inategemea unapenda nini,na pia had masomo ya biashara yapo ndan ya hii for ur future. new career out of that.
   
 14. S

  Safhat JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukisikia jitu pumbaaavu ndio ili,puuumbaaavuuu!!
   
 15. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  heri yake mpumbavu anayeelewa kuliko mjinga asiyeelewa!!:israel:
   
Loading...