kwa Mnaojua SAUT

Aug 11, 2012
76
3
kwenye Profile yangu imeandikwa

Admitted in Bachelor of Arts in
Public Relations and Marketing at
St. Augustine University of
Tanzania

je Itakuwa Na Mwanza Au Matawi yao Mengine???
 
Jiandae kwenda MALIMBE-MWANZA, karibu sana Mkuu tulijenge Jiji la Mungu!
 
kwenye Profile yangu imeandikwa

Admitted in Bachelor of Arts in
Public Relations and Marketing at
St. Augustine University of
Tanzania

je Itakuwa Na Mwanza Au Matawi yao Mengine???

Nenda kwenye list ya selected applicants, kama admission yako ina neno 'MC', i.e, Malimbe Centre or Main Campus.
 
Wakuu mbona saut bukoba hawajatoa list?? Alafu main compus wametoa list ya mwanza tu kwingne hawajatoa Ktkt program ya BAED
 
kabla ya yote ingia http://www.saut.ac.tz
kaka SAUT joining instruction imeeleza kila kitu...
kuna CoZ ambazo wao mpaka ureport ndio wanakupangia Mkoa...

coz hizo ni B.aDminstration...Law.....educatiob na sociogy tuuu ...

unaweza tupiwa Main mwanza Tabora songea na Bukoba na hata Lindi...

au Piga SAUT namba zipo kwenye hiyo link nilomiyokutumia!!!!!!
 
Si kweli isipokuwa unacheck list kwenye web yao kuhakiki centre uliopangiwa si mpaka uripoti.
 
So kwa hiyo inatakiwa kwenda kureport bukoba centre au main compus mwanza? Kwa sababu sijajiona kwenye list ya main compus mwanza na bukoba centre bado hawajatoa list wakubwa
 
ila kweli SAUT hawajatoa matokeo yote!!!
Waliyoweka kwente Homepage yao ni Nusu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom