helo wakuu...
kwa mwenye ufahamu wa gradimg za udsm anifafanulie maana kwenye mfumu wa matokeo wa chuo unanichanganya. mfano mtu umepata C unawekewa PASS wakati prospectus inaonyesha ni fail...
Kwa uchungu na masikitikomakubwa nasikia matokeo ya darasa la saba yalirekebishwa ili kufuta aibu kwani wengi walikuwa chini ya wastani unaotakiwa ambao ni 100/250. Habari za kuaminika toka...
Hebu jiulize mwanafunzi akipata alama zote mtihani wa darasa la saba kwa masomo matano anapata 250, kwani kila somo linajumla ya alama 50. Miaka ya nyuma kwenda sekondari ilikuwa kufikisha jumla...
Habari zenu wote,leo naomba niulize au nijuzwe kwa hili.Nakumbuka katika pitapita zangu kipindi cha nyuma nilikutana na tangazo la ajila kutoka NMB katika gazeti moja la kiingereza,ajila ilikuwa...
Nawapa pole,maana naamini wengi wanaofanya hvo,watakua bado wako vyuoni na hawana real experience ya kitaa..mimi pamoja na bcom yangu ya so called state university{udsm}lakini nimeambulia kuwa...
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo...
Habari wakuu
Katika taarifa ya habari ya clouds fm jioni hii saa 12 wamesema kuwa matokeo yametangazwa na asilimia za ufaulu zimepanda kwa asilimia 8.8 ukilinganisha na mwaka jana.Kawambwa...
HATA WAZIRI MALAIKA ATAZOMEWA
Kati ya wizara vichaa ni hii,hata kama ulikua na jina kubwa, weledi wa hali ya juu, mwanadiplomasia au uwe na busara iliyopindukia ukipewa hii Wizara tegemea kashfa...
Najaribu kuperuzi kadri niwezavyo pamoja na uhafifu wa mtandao nashindwa kuona chochote, nauliza kuna mtu ambaye amekwishayaona matokeo hayo kwenye web ya MoE? Tujuzeni.
Ndugu wa JF
Haijawahi kutokea serikali kutumia matokea ya mock mkoa darasa la saba kufanya selection, mwaka huu hilo limefanyika. Je huko ni kutatua tatizo au kuendeleza udhaifu? Je wanaweza...
The Profit and Loss Account
What is Profit & Loss all about?
The profit and loss account is actually 3 different things all rolled into one! The names of these 3 sections are:
Trading...
Mgomo baridi ni hatari.JK alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi kufikia hatua ya wanafunzi...
Watu wa mjini hupenda kusema: "Wizi noma ila unyama balaa" Huu ni zaidi ya unyama, zaidi ya ukatili uliokithiri uliofanywa na wanakijiji wenye mioyo ya jiwe iliyokosa nyama. Tukio hili limetokea...
Wakati Baba_Enock akisoma Shule ya Msingi Rumuli/Kashasha na Shule ya Sekondari ya Ufundi Moshi/Sengerema, asubuhi kabla ya kuanza masomo kulikuwa na utaratibu wa kukusanyika wanafunzi wote na...
The National Examinations Council of Tanzania will host the 31st Conference of the Association for Educational Assessment in Africa (AEAA) from 12th to 16th August 2013.
The Venue of the...
Saturday, December 22, 2012Mahafali ya nane ya Suza katika picha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa...
Habari wana Jf,
Naomba msaada wa taarifa juu ya shule ya sekondari kwa jina la 'Nguvu mpya'. Naomba kujua ipo sehemu gani? Ina vidato vingapi na kama ina 'O' level na 'A' level na kwa taarifa...
hv serikali ilkusudia k2 gani kuanzisha shule za kata ambazo hazna walimu, wanafunzi wanateseka coz inabd kutafuta tution wakati wazazi hawana uwezo wa kuwapeleka tution....wanaumia jaman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.