Kuna tabia na hali ya kutaka utajili wa haraka hasa kwa wasomi na vijana waajiliwa coz mtu anaanza kazi leo anataka kesho awe na magari na nyumba za kifahari pasipo kusota na kufanya kazi kwa nini?
Mimi naitwa Yusuph Peterson niko ktk chuo cha Tabibu Wasaidizi Kigoma CATC naomba msaada wa Kudhaminiwa kulipiwa ada Kwa muda wote wa masomo yaani miaka miwili nimelipa km robo tatu ya mwaka wa...
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari saa mbili usiku ndipo nikajue kumbe mauaji ya Mara hivi karibuni yalisababiswa na imani za kishirikina.
Kama tujuavyo hatuwezi kuendelea bila kuamini katika...
OUR VISION
To be the Centre of Excellence in Quality Education Assessment and Certification.
OUR MISSION
To Provide Fair, Effecient and Effective Educational Assessment.
OUR MOTTO is to serve...
Imefika wakati bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ibadilike,kwa muda sasa sisi wanafunzi tuliochina tunasubiri mikopo yetu lakini hatujapewa taarifa yoyote ya kuaminika toka wahusika...
Naomba kama mtakuwepo tukumbushane enzi zile za kuponda kokoto mambo ya jiwe wilolesi pia na mambo ya vikosi vya zamu. R-ip Kajiba kweli alitulea kijeshi sana.
Wadau,
Nimefungua TCU website, katika News & Events nikakutana na hili tangazo:
mgogoro wa wafanyakazi na wanafunzi katika chuo kikuu kishiriki Dar es salaam cha KIU
Kwa haraka haraka...
kwa uchache nawajua wenzangu wanne ambao wako katika hali kama yangu. ila haya ni maelezo yangu binafsi.
katika kipindi kilichokuwa kinarushwa na ITV na TBC taifa leo mida ya saa 12 jioni kuna...
Wanajamvi fikra huru.
tunakazana kuhamasishwa Mlima kilimanjaro uingie kwenye majabu ya dunia badala ya kuingiza matokeo ya darasa la saba ambapo wamefanya mtihani wa masomo 5 Waziri katangaza...
Wapendwa Wana JF,
Mwajiri wangu ameniambia yupo tayari kunilipia gharama zote za masomo at OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT). Hataki niache kazi kwa ajili ya kwenda kusoma Ph.D.
NAOMBENI USHAURI...
Salaam wana jamii,naomba kama kuna mtu anajuwa link ya ku download past papers za NBAA tanzania au sehemu yeyote ya kupata hizi past papers module E
asanteni
Habari ya mapumziko ya sikukuu ya kuzaliwa Yesu kristo na kuelekea mwaka mpya wa 2013.
Nakuandikia habari hii kutokana na hali iliyopo katika utoaji wa fedha za wanaosoma shahada za Uzamili na...
Nimekuwa Nikisikia Kuwa Wizara Imebadili Mfumo Wa Mitihani Form Six Wanamaliza Mwezi May Na Form 4 Mwezi Novemba Sasa Form Five Ya Mwaka 2013 Wataingia Shule Mwezi Wa Ngapi?
sometimes i real wonder why wait (to say) till it happen. I don't think if it matters when you are called a Prophet right! After all your not one or may be you are....just pay attention abt std...
Wasaalam..!! Ndugu zangu wa Jf...kwa upande wangu Kozi yangu Ya BVM Hapa Sokoine UniversitY of Agriculture.. Mambo Si lelemama nimekubali Challange Hope nikitoka likizo Mambo..Yangu YataninYookea...
Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.