Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wasomi wenu vyuoni hawafai,ukahaba ndio kazi za mabinti,rushwa na ufisadi hautaisha kama hawatabadilika
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ELIMU YA JANDO NA UNYAGO: Sio Elimu ya kuiga mambo ya Mila zingine[hakuna mapokeo ya mila nyingine],ili lenga jamii husika tu. Hakuna Cheti kinachotolewa,bali wote wanafaulu Kumbukumbu ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mtihani wa kidato cha pili unaanza leo nchini kote. Serikali imerudisha utaratibu ulikuwepo hapo mwanzo wa mchujo. Waziri wa elimu amesema.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau poleni na ujenzi wa taif. Jamani kuna mtoto wa jirani yangu,maeneo ninapoishi wamegoma kumpeleka shule baba hataki asome ukimuuliza sababu nn hasemi, mtoto ana miaka km kumi au 11 ni wa...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
habari wanaJF, naomba kama kuna mtu anafahamu mahali certification hizi zinatolewa hapa Tz anijulishe. 1.Occupational Safety and Health Management(OHSAS18001:2007) 2.ISO9000/TS16949 (Quality...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Public Speaking: From Petrified to Powerful in 10 Steady StepsFollow Mark's Tyrrell's journey from a presentation panic attack to confidently speaking to an audience of 500 Mark Tyrrell, formerly...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
A&P Prime College of Business-Dar Es Salaam(APPCO).. Chuo cha kisasa kinachotoa mafunzo ngazi ya Basic Certificate,Advanced Certificate na Diploma. Kozi zifuatazo:- 1.Business...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Chuo kikuu Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo kubwa sana.Wanafunzi waliopo ni kama mara tatu ya Hostel zilizopo, Wanachuo wanalala wawili wawili a. K.a kubebana lakini wapi....wengine wamepanga...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
FFU ni sehemu ya Jeshi la Polisi ambacho chimbuko lake ni kikosi tangulizi cha askari 31 wa Jeshi la Polisi la Makaburu wa Afrika Kusini, chini ya Major Stephen T. Davies, kilichoazimwa kutoka...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba msaada kwa yeyote mwenye notes za 1.MARXIST THEORY OF SOCIAL DEVELOPMENT 2.BOURGEOIS/ORTHODOX/MODERNIZATION THEORY OF DEVELOPMENT 3.MARXIST WORLD SYSTEM THEORY OF DEVELOPMENT NA 4AFRICAN...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nimekuwa nikifuatilia harambee ya kuchangia tuzo ya Mwalimu bora kutoka kituo cha television cha ITV na baaada ya muda nilijiuliza swali moja: JE MWALIMU BORA TANZANIA ANAPATIKANAJE? Swali hili...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nikwanzia asubuhi tupo HESLB kufuatilia issue ya 2nd year waliokosa mkopo mwaka jana, issue ni hot watu wana munkali board wanadai wametuma majina chuon but for further clarification tunawataka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama upo Dar na umechaguliwa kujiunga Tanga nursing school naomba tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ikumbukwe wanafunzi wengi walio mwaka wa pili vyuoni walikosa mkopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB) na bodi ikaagiza kwamba wakifika vyuoni waombe tena (appeal) kwa shilingi elfu tano na hakuna...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kachemka tena!!! Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika nchi kama yetu ambayo Waafrika ni maskini sana na wageni nai matajiri, kuna uwezekano mkubwa kwamba mwafrika akiruhusiwa kuiuza ardhi, katika miaka themanini ijayo, ardhi yote ya Tanganyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikumbukwe wanafunzi wengi walio mwaka wa pili vyuoni walikosa mkopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB) na bodi ikaagiza kwamba wakifika vyuoni waombe tena (appeal) kwa shilingi elfu tano na hakuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
As one headmaster runs away from his school in Bagamoyo with his Christian students and Muslims take to the streets again today in DSM after the Friday prayers, our end is now nearer than ever...
1 Reactions
6 Replies
994 Views
  • Closed
Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia...
0 Reactions
192 Replies
14K Views
Back
Top Bottom