Nina binti anayesoma Kidato cha Tatu katika Shule ya Bright Future Secondary School, iliyoko Msongola. Awali, shule hii ilikuwa chaguo letu bora kabisa—ndoto yangu na ya mwanangu ilikuwa asome...
ELIMU: Elimu ya Msingi
NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C
KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana.
KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam...
Kero yangu ni Shule za Private kuhamisha wanafunzi ambao wanaona hawatapata division one form 4, wanawaandikisha wafanye mtihani Shule zingine bila kuwashirikisha wazazi. Kwa kweli inakera sana...
Baadhi ya shule za sekondari za serikali katika kipindi hiki cha likizo, zipo ambazo zinaendelea kuwalazimisha wanafunzi kuhudhuria masomo bila utaratibu unaoeleweka.
Mfano, Shule ya Sekondari...
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesaini hati tatu za makubaliano ya ushirikiano wa kielimu na Urusi zitakazowezesha kubadilishana wataalamu, kuimarisha tafiti za pamoja na...
ELIMU: Elimu ya Msingi
NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C
KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana.
KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam...
Jamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer...
Kuna changamoto inayotusumbua sisi wanafunzi wa Chuo cha City College. Kila tunapotaka kufanya uhamisho kwenda vyuo vingine tunazuiliwa na kuambiwa kuwa chuo hakiruhusu kufanya uhamisho.
Hata...
Civilian-Coin Nalimi Kisandu, professionally known as Civilian-Coin is a Tanzanian researcher, journalist, artist, and former political figure. He was born on June 28, 1980, at the district...
Ndugu Katibu Mtendaji,
Napenda kuwasilisha kero na malalamiko yangu pamoja na ya waombaji wengi wanaotumia mfumo wa Central Admission System (CAS) kwa ajili ya kuomba kujiunga na vyuo vya afya...
Habari wanajf.
Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania,
Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora.
So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba...
Tunaomba Serikali iingilie kati kuhusu maslahi ya Wafanyakazi wa Shule ya sekondari Mchungaji Mwema iliyopo Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera
Wafanyakazi wa shule hiyo tunakabiliwa na changamoto...
Habarini za kazi , Wahitimu wa diploma ya Clinical medicine wa chuo cha Kilimanjaro college of health and allied Sciences (KICOHAS)tulihitimu mwaka 2025 mwezi wa nane mpaka leo hatujapata vyeti...
Tunaomba sauti ya wazazi ifikishwe kwa mamlaka za elimu katika Mkoa wa Mwanza kuhusu suala linalohusu baadhi ya shule kuendelea na masomo hata wakati wa likizo rasmi za wanafunzi.
Kumekuwa na...
Habar wakuu,
Nilikuwa naomba kuuliza vipi kuhusu iyo kozi niliyo iandika hapo juu ambayo inatolewa Ardhi University. Iko poa kwenye swala la ajira na pia inahusiana na nini sana sana?
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kupitia Ndaki ya Biashara na Uchumi (CoBE), leo tarehe 3 Juni katika Ukumbi wa CT1, kimeendesha mjadala maalumu kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi...
Natafuta musaada kubadili combination kwa kijana wangu.
Ndoto yake ni kusoma HGE ama EGM.
Kwa sasa amechaguliwa HGL lakini shule hakuna combination za HGE na EGM.
Natanguliza shukrani.
Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameendesha programu maalum ya uhamasishaji kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Tehama, ikiwa ni sehemu ya...