Kusoma Masters ya Quality Assurance

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,291
2,000
Habari wakuu,nategemea kujisomesha Masters nje ya nchi,ningependelea kusoma masters ya Food Quality Assurance and Industrial management.Sijui ni chuo gani cha gharama ya nafuu kinatoa hii kozi ya uzamili.Nina mshahara wa "take home" laki sita na nimeamua kuweka akiba ili nijisomeshe Masters kwa kujidhamini mimi mwenyewe.
Naomba ushauri wa dau wa wapi naweza kupata chuo cha gharama nafuu,pia ushauri mwingine unakaribishwa.
 

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
sua ipo. pia angalia wageningen versity uholanzi nadhani ipo. pia kuna chuo kinaitwa boku-austria kizuri sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom