Katika hotuba yake ya shukrani ambayo pia ilieleza mikakati ya serikali ya awamu ya nne katika kipindi kijacho cha miaka mitano, Rais Kikwete alisema kuwa atajenga makao makuu ya CCM ambayo...
Wadau tujadili hizi shule hasa binafsi kuweka alama za wastani ambazo kama mwanafunzi asipofikishwa anatakiwa kurudia darasa au kuondolewa shule.
Hii inasababishwa na hali ya shule kuondoa...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6...
Natafuta mtu (watu) anayejiandaa kwa mitihani ya bodi ya manunuzi na ugavi PSPTB stage 3 kwa mwezi wa MAY 2015 ili tupeane kampani ya kutafuta notes na kusoma + ku discuss pamoja...
Niaje wakuu, nipo kwenye dilemaa nisome tele UDOM au I.T UD but I kinda like tele kidizain, sijui ipi mziki mnee na ipo markateable,naombeni ushaur wenu wakuu.........:confused2:
Ndugu wana JF, kwa matokeo ya CSEE 2012 mimi nina C, D, D, D, F, F, F.
Malengo yangu nije kuwa mwanasheria nguli. Nijulisheni chuo kizuri cha sheria kinachoweza kuchukua alama hizi na ada zake...
Naomba kuelekezwa kama kuna mtu anajua jinsi ya kudownload kitabu chochote mtaandaonii au kma kuna njia ya kupata softcopy ya kitabu husika anisaidie au kama kuna website naomba anipe
Nimeresearch sana na kusema kweli majirani zetu wakenya wako mbele yetu sana kwenye sector ya geothermal energy. Tanzania Geothermal Development Company ndio kwanza inaanza na haina hata website...
:cheer2:Many people fear the concept about disability more than disability itself. Other people have justified themselves to have distanced themselves from disability. Talking about practical...
Ndugu zangu naomba ushauri wenu hasa mlio kwenye field ya uhandisi, kuna ndugu yangu amemaliza form six na naona hajapata credit za kumpeleka chuo direct so ninafikiri kum-support asome kama...
Habari wadau
tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipatia sheria ya elimu ya mwaka 1978 na.25,anipatie kwa namna yeyote itakavyokuwa rahic kuipata.
nawasilisha
Wadau naombeni mnishauri mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2014,
na nilishindwa kuomba chuo kutokana na kuto kuwa na uamuzi sahihi wa kuchagua nini nikasomee.kwahiyo kwa yeyote anaye ijua...
Danida Fellowship Centre (DFC) on behalf of Danida, Ministry of Foreign Affairs, Denmark, calls for applications for MSc Scholarships under the Building Stronger Universities Programme.
The...
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu yatakayoanza...
napenda kuwapa pole wakufunzi wa chuo cha ualimu monduli kwa kazi kubwa walioifanya ya kufundisha kozi ya bridging kwa muda wa miezi mitatu bila kulipwa chochote.
kozi kama kama hii kwa mujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.