Mwakasimba
Member
- Mar 16, 2014
- 10
- 2
wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda!
wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda!
Mimi napita, subir watakuja wanaojua ulichouliza
Hakijasajiliwa. Tembelea tovuti ya NACTE kuangalia vyuo vilivyosajiliwa, au wapigie simu au watembelee ofisini kwao