wanandugu za jioni.naomba msaada wa kufaamu ratiba mbalimbali za training kwenye fani tajwa hapo juu kwani mke wangu amepewa nafasi na ofisi yao mwakani kuhudhuria training lakini kwa shart...
Wakuu habari zenu,
niliwahi kusoma kozi mbalimbali miaka ya nyuma kupitia hawa watu ila kipindi hicho ilikuwa kwa njia ya posta.
sasa nilikuwa nataka kijana wangu asome tena na niliambiwa wako...
Jaman vp kwa wale mwaka wa pili walioomba mkopo this term,kuna chuo chochote ambacho kishatoa majina,
ama mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu hili anijuze!
Nili balance combination ya CBG vizuri ila nimefeli mathematics kwahiyo nilivyo fanya application katika shule kwa lever ya advance baadhi ya shule walinikubalia baadhi ya shule kama makongo...
Walimu nawauliza hasa Mkoba and company, mbwembwe zenu za kuandamana kupinga mabadiliko hovyo ya mafao ya kustaafu yalifia wapi? Kweli Ualimu na Walimu- anyway angalau mlijitutumua!
Nimepata Shavu la ajira kitengo nyeti katika kampuni ya wazungu(wafaransa kutoka Ubelgiji) ,wamenipa kazi ila wameagiza niboreshe kifaransa changu nilicho kikimbia Makongo Sec(2002/2005) kwa...
Dear All,
Mwezi uliopita tuliiona video moja hapa inayoonesha vipi watoto wanavyodhalilishwa mashuleni kwa kupigwa bakora. Wengi wetu tukasema kwamba mtoto Wakitanzania kama hujamchapa basi...
Habari za jioni Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule...
Nimesoma mahali nikajifunza mengi, ningependa kama unapenda na wewe upitie....
1.HAIJULIKANI DUNIA IPO UPANDE GANI MWA ULIMWENGU.
A precocious child might write his or her full address as Main...
Helo. If you have graduate student loans, have you thought about refinancing to a lower rate? CommonBond allows you to consolidate your graduate (& undergrad) loans. They offer fixed and variable...
IS A university degree a good investment? Many potential students are asking the question, especially in countries where the price of a degree is rising, as a result...
Taarifa zilizotufikia ni kuwa kuna wizi (wenyewe huupamba kwa kuuita ufisadi) unaoendelea Chuo Kikuu Dodoma ambapo wanafunzi wanaohitimu wamekuwa hawarudishiwi pesa zao za kukodisha jofo kama...
Mwalimu Daniel Urioh.
Ninaomba WIZARA YA ELIMU iwe makini na wawekezaji katika secta ya elimu, hasa kwenye shule ambazo zinatoa msaada kwa watoto wakitanzania ambao familia zao hazina uwezo...
Mradi huu ambao uko katika mikoa minane hapa nchini umeanza kwa kutoa mafunzo mbalimbali kwa wadau anuwai kwa mikoa hiyo; lakini mradi huu unaonekana kama unafanya maigizo vile.
Mfano walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.