Ndugu zangu wanajamii nilifanya maombi chini ya early scholarship offer nisome degree ya B.COM katika hiki chuo na baada ya wiki3 wamenijibu wamenikubalia lakini sio full scholarship nijitegemee msosi na air ticket.kama mnavyojua familia zetu ni choka mbaya je niwapi naweza kupata msaada? mungu awabariki.