soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 12
- 38
Naomba kuuliza, mimi nina mdogo wangu wa kiume kapata ufaulu wa two ya 18 kidato cha nne na alijaza combination ya pcm kama chaguo la kwanza, matokeo yake ni physics C, chemistry B, mathematics C. je atachaguliwa pcm kweli?