Hivi bodi wana mpango gani na hela zetu za field?

Hivi bodi wana mpango gani na hela zetu za field?

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
Kuna baadhi ya vyuo hela ya field bado ni kitendawili. Mwenye kujua chochote kuhusu hili swala atupe taarifa maana field zimeshaanza na fedha haijatoka mpaka sasa.
 
Nyie mmekubali vipi kuondoka kabla hamjapewa hela?Ina maana hamkuona kilichowatokea ndugu zenu mwaka jana?

Hii serikali yetu bwana ni ni kukaza tuu wenzenu UDSM walishasema hawaoondoki vyuoni kama pesa haijatolewa na siku chache kabla hawajasepa pesa ikaingia

Poleni lakini
 
daah unajua kubaki chuo mkuu wakat hela yenyew huna nako ni kitendawili..ila big up kwao UDSM kumbe walitoa hilo tamko..yani field zimeanza MTU unashindwa hata kujikimu...kwakwel walicholifanya sio haki kabisa.
 
Kuna baadhi ya vyuo hela ya field bado ni kitendawili..
mwenye kujua chochote kuhusu hili swala atupe taarifa maana field zimeshaanza na fedha haijatoka mpaka sasa.
We unatokea chuo gani? kwa sababu Bodi walishaingiza kwenye vyuo husika ila chuo ndio kinachelewesha kusambaza pesa kwa wamafunzi kwasababu zisizo julikana.
 
We unatokea chuo gani? kwa sababu Bodi walishaingiza kwenye vyuo husika ila chuo ndio kinachelewesha kusambaza pesa kwa wamafunzi kwasababu zisizo julikana.

vyuo vingi tu hela haijatoka,UDOM naskia bado,IFM pia,na baadhi vimeshapewa...kama mzumbe ,udsm,na mwalimu nyerere
 
When I hate ccm people shout me I'm crazy bt i still watch who btn me and you is crazy cauz every corner Tanzanian crying, why you stop me blaming while my colleagues are driven in poverty by ccm? Don't stop join me please !
 
Huku hamjapewa hela ya field mimi.haadi Leo.yapata Miezi.mi 3 sijapewa mshahara haata mmoja!!
Yaani nchi.ya Kisenge sana.hii we tulia OCTOBA SIO MBALI LAZIMA NICHINJE MBWA SISIEMU MAANA.HATA HUYO MNAEDHANI NI.MCHAPA KAZI LAZIMA.PIA ALINDE MASLAHI YA CHAMA NA.KULINDA KWENYEWE NDIO.HUKU MAFISADI YANASHIKILIA HELA ZETU YAKUZE MITAJI.YAO YA KIBIASHARA YAPATE FAIDA NDIO YATUKUMBUKE NA.SISI HAPA !YAANI NMECHOKA NA.HII TANZANIA KWA KWELI NI KAMA SINA.AJIRA TU,,HAYA NIJIAJIRI VIPI??SINA MTAJI NLKUA NA MIPANGO YANGU YA KUANZA KA.BIASHARA LAKINI HADI LEO HII SINA MSHAHARA WALA MTAJI!!!inaumizaa sana.hali hii hata kazi sitaifanya kwa moyo.hata km...ntalipwa hela zangu Am psychologically distorted na uticha!!sina ham!!
 
Back
Top Bottom