Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,627
- 21,878
Kuna dogo anajiandaa kwenda kusoma Clinical Officer, Kaniuliza hilo swali.... Nilichomjibu ni kwamba azingatie masomo anayofundishwa, aweke bidii kwenye kusoma na pia afanye juhudi apate GPA kubwa itakayompa nafasi ya kuendelea mbele Zaid......kwa madaktar tafadhali kama yapo mengine mshaurini dogo.