emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 133
Nina division three ya kwanza PCB je naweza kuchaguliwa bachelor of science in land management and valuation ardhi university?
No nilijaza MD bt wakanitema
Ndo nataka niapply tena
haiwezekani ni kati ya course zenye competitions na huwa inajaa kwenye first round na watu wengi wanaojaza hiyo course wanatupwa second round.No ckujaza
Nilijaza MD but wamenitema
Ndo nafkiria kujaza hii faculty