MAONI: Kuhusu matumizi ya majukwaa!!!

MAONI: Kuhusu matumizi ya majukwaa!!!

BETWEL JACKSON

Senior Member
Joined
Sep 19, 2015
Posts
117
Reaction score
7
Naona wakuu nivizuri tuache uchanganyaji wa mafaili; kama ni jukwaa la Elimu, tuweke mambo yanayo husiana na Elimu n.k, siyo Elimu unaweka siasa,mapenzi wakati kuna majukwaa yanayo husiana nahayo, au WAKUU mnasemaje?

Nimtazamo tu.
 
Yah, una point ila naonaga zina tolewagwa na mods
 
Back
Top Bottom