kuhusu first year kupata mkopo ni kwamba bodi ya mkopo inatoa mikopo kwa kuzingatia vigezo na masharti,,yaan waliokidhi vigezo hivyo wamepata mkopo in short ni kwamba wanafunzi wengi wanaoripoti hapa wana mikopo ya % tofauti tofauti,ila wengi wana mikopo inayorange 20%-80%Mpaka sasa tia dsm kuna Mwanachuo wa first year yoyote kapata mkopo? Kozi zote zahapo tia sio za kipaumbe, vpi kwa continuos students WaPo wanaolipiwa na bodi hiyo (heslb )
Ahsante kwa Malibu bomba mkuu. Nimechaguliwa Kozi ya Ugavi na Ununuzi bado nko home Simiyu nasubil third lot ya heslb. Mwaka sasa sina uhakika kma ntasoma mwaka huu mana kuna mtu kanambia kwa chuo cha TIA hawatapata mkopo b'se kozi zote sio za kipaumbele. Bado najipa matumaini na loan board istoshe muda wa kuripot nimpaka 24November.
Much thanks mkuu
Nmekusoma mkuu, thanks kwa kunipa Matumaini
Ckutaka kumubishia mshikaji kwani kumbukumbu zangu znathibisha nkweli kozi zote za TIA ni non priority
Mkuu vp lakn chuo chenyewe academically mana vyuo vngne wanafunzi wanafelishwa hovyo hovyo
Mimi nimechaguliwa bachelar marketing and public relation vipi hii course ina everning shift??
Mimi ni mfanyakazi wa TIA nawashauri wanafunzi wote mliochaguliwa mjiunge bila kusita. Kwasababu TIA tuko very fair na ukifeli basi wewe utakuwa umeshindikana. Karibuni sana.