Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Serikali leo bungeni kupitia tume ya waziri mkuu imefuta matokeo ya kidato cha nne na kusema kuwa mitihani itasahihishwa upya SWALI LANGU NI:> "*KAMA WATASAHIHISHA MITIHANI HIYO UPYA MATOKEO...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo Nini maana ya kupanga muda? Hizi ni kanuni, mazoezi, ujuzi, zana na mifumo inayokusaidia katika kutumia muda wako kwa ajili ya kukamilisha jambo...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
29 Reactions
199 Replies
15K Views
Kuna mchakato ulipita wa kuwapata watu watakao pata mafunzo na baadae kuwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii kwa ile mikoa kumi ya kwanza. Sasa nataka kujua ni lini Hawa waliopatikana wataenda...
2 Reactions
2 Replies
405 Views
Mi mwanafunz wa diploma ya biotechnology ila nataka kubadili course bachelor ili npate kazi ntakayoweza kujiajiri. Nisomee nini? Au hata hiyo inafaa? Napenda kusoma natural sciences au science...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist
3 Reactions
88 Replies
9K Views
Habari ndugu wana jf. Naomba ufafanuzi kuhusiana na hii kozi ya laboratory science and technology iliyopo MUST & DIT. Hususani inahusiana na nini hasa, soko lake la ajira na namna ya kujiajiri...
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Heshima kwenu wana JF. Naombeni ufafanuzi kwenye utofauti kati ya faculty ambayo ni BACHELOR DEGREE IN [PARTICULAR FIELD] na BACHELOR OF SCIENCE IN [PARTICULAR FIELD]. Nawasilisha.
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kaka yangu ananilazimisha nikasome hiyo kozi lakini mimi nahisi siielewi.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari Zenu Wana JF,. Naomba Mnisaidie Maana Ya Neno Degree Kama Inavyotumika Kwenye Bachelor Degree Na Masters Degree Katika Issue Za Academic,.
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Kwanza habari za wakati wanajamii wenzangu.!? Mm ni mhitimu wa chuo kikuu cha dar es salaam(Udsm) katika fani ya bachelor of science with education majoring physics na chemistry. Mwaka huu 2018...
1 Reactions
59 Replies
12K Views
Jamani mi ni mwalimu s/msingi nataka nikasome diploma inawezekana??
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Je,kusoma chuo cha kampala international university kwa kozi ya IT kuna changamoto yoyote?
4 Reactions
3 Replies
436 Views
Wada u nahitaji hizo video. naomba kujua naweza kuzipata wapi? nakumbuka niliwahi kuona video ya Things fall Apart, Song of Lawino. wakati huoz teknolojia ilikuwa haijakuwa. zilikuwa katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na...
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Napenda kufahamu kuhusu utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha nne maana naamini humu walimu wapo wanaohusika na wanaorudia mitihani hyo, je wanaorudia mtihani huwa nao wanakuwa na continious...
0 Reactions
28 Replies
22K Views
Kwa kweli naishiwa pozi nkitazama jinsi waalimu wanavyobabaika na ajira portal. Hebu wewe kama mzazi kaa chini tafakari kwani siyo kila kitu mwanao atapangiwa lazima aende. Kama umeridhia bas sawa...
3 Reactions
2 Replies
367 Views
Habarini wanajamiiforum,, nilikuwa naomba msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu kuhusu upatikanaji wake wa ajira na soko lake hata kwa kujiajiri binafsi na mambo kadha wa kadha kuhusu...
2 Reactions
12 Replies
791 Views
Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana. Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92...
32 Reactions
521 Replies
51K Views
Back
Top Bottom