Hata ukijaribu ku search jina la pili na la tatu kuna kitu utagunduaUmejuaje kama hao watu waliotajwa hapo sio watu wa chini?
Mchujo unatumia sana survival of the fittest.. usishangae kigezo ni kiwango flani cha GPA. Ambacho mtoto wa maskin kukifikisha ni mbinde...
Hatari sanaMchujo unatumia sana survival of the fittest.. usishangae kigezo ni kiwango flani cha GPA. Ambacho mtoto wa maskin kukifikisha ni mbinde...