Kwema wana ukumbi, wakuu kwanza tufahamu fika nchi kjama nchi inajengwa na wananchi wenyewe wazalendo kabisa wa taifa lao usitegemee mtu yoyote kutoka nje akawajengea nchi yenu/yetu..Elimu ni...
Wadau eeeeeeeeeeh nacte bado hawaja toa au mpakq weeeek 4 zijazooooo nn
Coz wamesema mpk week 4 yaaan trh3 mpaka leo trh 21 bado ci mazinguZi haya au wame tusahau nn
Hatimaye sasa ubora wa elimu na ufaulu umeanza kuzingatiwa katika kusomea vyuo vikuu nchini.
Masomo ya science yalipoteza heshima yake kabisa, mikopo iligawanywa kiholela holela tu.
Sasa wimbi...
Habari zenu Wana JF, usema ukweli Add O-Level sitting bado tatizo katika website ya TCU. Nimeweka matokeo hayo kuresit ya mwaka 2014 lakini bado haileti majibu. Nashindwa kuendelea mbele... Msaada...
Chuo ni chako (serikali) madhaifu ya chuo ni wewe ndiye uliyesababisha au ni kutokana na uzembe wako (poor management) alafu ghafla unatoa tamko kuwa chuo kimefungiwa, huoni kuwa huko ni...
Amani iwe nanyi viongozi...
Natumaini mu wazima wa afya,lengo langu ni kutaka kujua utofauti wa hizi course na ipi ni bora kuliko nyingine.
1.Bachelor of science in information communication...
Wana jf wasalaam!
Kama mtakuwa na taarifa kuna vyuo na course flani kwenye vyuo fulani zimekataliwa kuchukua wanafunzi kwa mwaka huu na ni kutokana na sababu mbali mbali za kitaalum na miundo...
Hello JF..this is a true testimony.....
Today around 8 am in the morning I got a phone call from the college of Judiciary IJA ,,it was Wandering through this number 0227689097 she was informing...
Habari wanaJF,
Bila shaka kuna baadhi ya members ambao wamesoma tuition kwa Ostadhi pale chang'ombe,ningependa kufahamu uwezo wa huyu jamaa kiufundishaji maana nimekuwa nikisikia kwa Ostadhi kwa...
*Finland is ranked No.1 in the world in Education. What’s so great there!*
• A child goes to school there only at the age of 7. The torture does not start at 2 ½ as it is elsewhere.
*• A...
Habarini wakuu,
Naomba mnisaidie kujua kama mwanafunzi amefaulu masomo ya Physics, Chemistry na Mathematics na pia ana ufaulu wa "B" O-level
Je ataweza kusomea udaktari?
Nawasilisha,
Habari za mda wadau
Kwanza poleni kwa majukumu.
Nimefungua huu uzi nikiomba mnishauri ni degree gani nzuri naweza fanya kwa masomo na ufaulu wangu
HGE
Hist C
Geo C
Eco C
Bam D
Na 1 ya point 9...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.