NINI TOFAUTI YA COURSE HIZI ZA IT?

NINI TOFAUTI YA COURSE HIZI ZA IT?

The Ape

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
330
Reaction score
476
Amani iwe nanyi viongozi...
Natumaini mu wazima wa afya,lengo langu ni kutaka kujua utofauti wa hizi course na ipi ni bora kuliko nyingine.
1.Bachelor of science in information communication technology with management.
2.Bachelor of science in information technology with business.
3.Bachelor of science in information technology systems.
4.Bachelor of health systems management.
Natumaini nitapata majibu sahii kwenye hili,mnakaribishwa.
 
Amani iwe nanyi viongozi...
Natumaini mu wazima wa afya,lengo langu ni kutaka kujua utofauti wa hizi cozi na ipi ni bora kuliko nyingine.
1.Bachelor of science in information communication technology with management.
2.Bachelor of science in information technology with business.
3.Bachelor of science in information technology systems.
4.Bachelor of health systems management.
Natumaini ntapata majibu sahii kwenye hili,mnakaribishwa.
Hyo ya kwanza imejikita kweny jinsi ya kutengeneza na kusimamia products za IT mfano kampuni ya ICT include workforce yani meneja ufundi wa tehama

Hyo ya pili ni jinsi ya kutengeneza kufanya na kusimamia biashara ya IT...yani jinsi ya ku i convert IT kuwa biashara au jinsi ya ku manage

Hyo ya tatu ni jinsi ya kuitengeneza na kusimamia mifumo ya IT

Hyo ya nne sio course ya IT,lakini hao ni wataalamu wa kusimamia mifumo ya afya
 
Ya kwanza: Tunajifunza juu ya Teknolojia ya Habari & Mawasiliano (ICT), yaani namna ya kutumia teknolojia hii ktk kuboresha huduma za kisekta hasa upande wa taarifa na mawasiliano ndani ya sekta husika. Mfano e-learning, e-health, e-governance, etc.

Hiyo ya pili: Tunajifunza namna ya kutumia teknolojia ya habari (IT) ktk kurahisisha ufanyaji biashara, mf e-commerce, e-business, etc.
 
Asante mkuu... na kwenye hizo course ipi imekaa vizuri kukimbizana na dunia ya kileo.
 
Hyo ya kwanza imejikita kweny jinsi ya kutengeneza na kusimamia products za IT mfano kampuni ya ICT include workforce yani meneja ufundi wa tehama

Hyo ya pili ni jinsi ya kutengeneza kufanya na kusimamia biashara ya IT...yani jinsi ya ku i convert IT kuwa biashara au jinsi ya ku manage

Hyo ya tatu ni jinsi ya kuitengeneza na kusimamia mifumo ya IT

Hyo ya nne sio course ya IT,lakini hao ni wataalamu wa kusimamia mifumo ya afya
Ipi ni bora Zaidi kwa dunia ya kileo???
 
Back
Top Bottom