Kwa ufaulu huu, nitachaguliwa UDSM?

vigezo kwa diploma lazima uwe na credit3 na 2Ds za o'level na kuendelea
na gpa kuanzia 3.5 na kuendelea
hivyo na vigezo vyao na ndo vilivyowafanya diploma wa mwaka jana kuachwa japo wengine walikua na gpa 4.5.

na kwa yule wa division2 form six asiwe na shaka juu ya hilo
mengineyo plz ingia hapa
WWW.UDSM.AC.TZ
 
UDSM hahaha...
Karibieni kule tu ila mkapambane maana kupata 0.5/10 ktk presentation ni jambo la kawaida sana.

Wengi walofanya masihara nliona waki-disco mwaka wa kwanza tu.

Ukipiga shule upasavyo mbona kila kitu kinakua swafi tu na utaenjoy sana.
 
Wanaong'ang'ania kwenda UDSM ndo hao mwisho wa siku wanatemwa first round apps..na asikuambie mtu 2nd round utakutana program ambazo utajutia tu...so kwa ushahuri chagua chuo na degree program kwa kuangalia capacity ya watu wanaohitajika, compitition ya watu ktk hicho chuo na pia cut point..ukizingatia hayo hutajitia application zako mwisho wa siku...then ASIFUATE MKUMBO Wala usikurupuke fanya maamuzi kulingana na mazingira unayoishi na status yako ya maisha uliyonayo...
 
Back
Top Bottom