Elimu yetu tunaipeleka wapi?

Elimu yetu tunaipeleka wapi?

C J

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
77
Reaction score
60
Kwema wana ukumbi, wakuu kwanza tufahamu fika nchi kjama nchi inajengwa na wananchi wenyewe wazalendo kabisa wa taifa lao usitegemee mtu yoyote kutoka nje akawajengea nchi yenu/yetu..Elimu ni basement thing ya maendeleo ktk taifa hichi ndio kitu kinachofanya taifa lisonge.kupitia elimu tuta control maliasili,watu sambamba na mali zao .Nasikitika sana sana kuona taifa langu haliipi kipaumbele elimu na badala yake elimu hii ambayo ni msingi wa maendeleo limekabidhiwa genge chache tu ambalo huendesha miongozo ya elimu hii kwa mihemko..Hvi kuna umuhimu wa kukazania pass marks za kuingia vyuoni ziwe juu ile hali huko mavyuoni elimu inayotolewa iko chini sana?

Ni watu wa weledi gani wanaojadili mustakabali wa elimu yetu? leo tuna maprofessa'engineers'doctors lakini nao wapo majukwaami kupiga porojo za siasa, hatukatai uwepo wa siasa ila tujue hakuna limesonga mbele kwa kipaumbele cha siasa, Wasomi wetu wamekuwa watu wa kumeza tu tangu ngazi za chini mpaka za juu tunapima cream capacity ile hali vitendo hakuna kabisa.
 
Nimekuelewa sana mkuu, tena hapo uliposema pass marks za kuingia chuo kikuu zipo juu halafu elimu inayotolewa chuoni ipo chini
 
Kweli bwana... hajakosea kwa pendekeza jina kulingana na hali halisi ya uasi katika nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom