ULISOMAGA WAPI WEWE MKUU HAHAHAHAAA?vipaji maalum hiyo sera imebaki jina..hizo shule za kawaida sana na wanafunzi wengi wanaopelekwa huko ni wa kawaida mno.uwezo wa kipaji maalum umebaki kwa msomaji mwenyewe na wala sio shule
Ila azania si sawa na ilboru, kibaha au mzumbe hasa hasa kwa advance.azania ilikuwa kipaji ila sio kipaji maalumu lakini kilichotokea ACSEE2016 umeshuhudia.
Upo dunia gani wewe!!!.....hata tabora wanachukua...mwanafunzi wangu kaenda pale.....nadhani amemaliza chuo mwaka huu...fatiliaAZANIA HAIJAWAHI LUA SPECIAL. special boys ni nne tu Ilboru,Kibaha,Tabora na Mzumbe .. na kismiri imeongezwa miaka hii, azania wanachkua mpk div3
Labda combie ya ArtsUpo dunia gani wewe!!!.....hata tabora wanachukua...mwanafunzi wangu kaenda pale.....nadhani amemaliza chuo mwaka huu...fatilia
Huo ndo ukweliNadhani wanaselect wanafunzi waliofaulu vizuri sana
But hakuna utofauti elimu ya Tanzania ni ile ile....!
Kinachozungumziwa hapo ni perfomance za wanafunzi na wala si kuwa zina silabasi zao. Elimu ile ile huku zero kule Div one ndio tofauti hiyo yaani wenye uwezo mkubwa ndio wanachaguliwa kipaji.Huo ndo ukweli
Kinachozungumziwa hapo ni perfomance za wanafunzi na wala si kuwa zina silabasi zao. Elimu ile ile huku zero kule Div one ndio tofauti hiyo yaani wenye uwezo mkubwa ndio wanachaguliwa kipaji.Nadhani wanaselect wanafunzi waliofaulu vizuri sana
But hakuna utofauti elimu ya Tanzania ni ile ile....!