Vitabu vya geography | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitabu vya geography

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NaCl, Jul 14, 2013.

 1. N

  NaCl Member

  #1
  Jul 14, 2013
  Joined: Apr 22, 2013
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naombeni kuuliza vitabu vizuri vya geography vya advance
   
 2. E

  Elixha Member

  #2
  Jul 14, 2013
  Joined: Jul 11, 2013
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Advance kubwa xi au xii.
   
 3. N

  NaCl Member

  #3
  Jul 14, 2013
  Joined: Apr 22, 2013
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Form five
   
 4. Mwandwanga

  Mwandwanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 2,796
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Integrated Geography by David Waugh. (bei yake ina range kwenye 90,000/= na kuendelea )
  NB: Kama ni mvivu kujisomea vitabu hakikufai tafuta Nyangwine Books.
  Pia kuna vingine vimechapwa na Longman ni vizuri kwa maana ya practical na physical. Nenda Bookshop utavpata ni vya kjan.
  Kibongobongo physical geo ni nzuri ya Msabila kuliko ZISTI NA practical bora utumie ya Zisti.


  Muhimu.
  vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa KITANZANIA (ARTS SUBJECTS) VINAMAPUNGUFU,hivyo ni chaguo lako.
   
 5. N

  NaCl Member

  #5
  Jul 15, 2013
  Joined: Apr 22, 2013
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa kunifahamisha, kwani kuna kitabu kimoja ambacho kinakuwa na physical and practical au vinakuwa vitabu viwili tofauti? Na hao zisti na msabila siyo wabongo?
   
 6. H

  HAGAI MAVANZA Member

  #6
  Jul 15, 2013
  Joined: Jun 26, 2013
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zist kamil yuko vizur ktk geography one in practical nenda barneth for diagrams msabila in georg11 yuko vizur sana
   
 7. F

  Flammable JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2013
  Joined: May 1, 2013
  Messages: 876
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa geography2 msabila ndo mpango mzima bt geography1 zisti kamili anaweza
   
 8. Mwandwanga

  Mwandwanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 2,796
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  ni wabongo wenye unafuu,kuna ktabu kimechapwa na Longman n practical geo nikizur zaid na kwa physical geo ndo hyo integrated Geograph. Msab na zist kuna topic kama WETLAND HAWANA NA HATA ALIYOITOA ZIST( kuna kajitabu zist kaunganisha na topic ya soil) Hakikidhi haja ya mwanafunzi juu ya topic ya Wetland
   
 9. Mwandwanga

  Mwandwanga JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 2,796
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Bannet ni kwa O'Level mkuu, tafuta Physical landform for Africa hiki nacho mchapaji ni Longman. kipo vzur n zaid ya Bannet.
   
 10. H

  HAGAI MAVANZA Member

  #10
  Jul 16, 2013
  Joined: Jun 26, 2013
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akisoma longman ataichukia georgraphy mapema sana coz vitabu vyake ni complicated sana mkuu
   
 11. Landcruiser

  Landcruiser JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2013
  Joined: May 27, 2013
  Messages: 1,762
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Zisti kwa practical yuko poa sema tu survey yake ndo ipo shallow.
  lakini its the best kwnye hzo topic nyingine
   
 12. Mwandwanga

  Mwandwanga JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 2,796
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kama anahitaji kupasua vyema na kuwa nondo Longman ni Chaguo la kwanza ila kibongobongo na kujisomea bora alambe Simplified books.
   
 13. p

  paulo lulandala Member

  #13
  Aug 9, 2016
  Joined: Sep 20, 2015
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kiukweli waandishi wetu wa kibongo wanazingua sana. naomba mheshimiwa waziri wa elimu alifanyie kazi suala hili maana wanafunzi wetu wamekuwaq wanakimbilia kutumia vitabu bila kujua ubora wake na kujikuta kwenda chaka katika mitihan yao!!!!!!!! tuchukue hatua
   
 14. Amon Mtekateka

  Amon Mtekateka JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2016
  Joined: Jun 4, 2014
  Messages: 1,234
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Angetafuta D. T. MSABILA practical
   
 15. Amon Mtekateka

  Amon Mtekateka JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2016
  Joined: Jun 4, 2014
  Messages: 1,234
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Tafuta msabila wewe ndio ameelezea vizur katka kila kitu.
  1/HUMAN AND ECONOMIC GEOGRAPHY
  2/PHYSICAL GEOGRAPHY
  3/PRACTICAL GEOGRAPHY
  Huyu jamaa yuko vizur mtafute
   
 16. WA PATI

  WA PATI Senior Member

  #16
  Aug 9, 2016
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  Hebu nanyi tungeni tuone ubora wenu, maana mnakosoa bila kuprovide solution, kwa kiasi kikubwa wamejaribu lakini kusema hawajafanya kabisa si kweli.
   
 17. Amon Mtekateka

  Amon Mtekateka JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2016
  Joined: Jun 4, 2014
  Messages: 1,234
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Huyo jamaa alivyosema n kwel vitabu ving vya tz vimetofautina katka maelezo yanayoelezea topic mbalmbal.
  Ambapo hupelekea kuchanganya wanafunz.
  Mfano mzur n topic ya "THREAT TO THE WORLD PEACE AFTER SECOND WORLD WAR"
  Hii topic kila mwandish ameilezea tofaut kulingana na uelewa wake.
  Major events ameelezea tofaut na mastering ya mwl. Kato, lakn vyote na vitabu vya history.
  Apo ndio unapoona utofaut wa vitabu kwa hapa tz na kumchanganya mwanafunz
   
 18. dtov

  dtov Member

  #18
  Aug 10, 2016
  Joined: Jun 22, 2014
  Messages: 18
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  D.T Msabila edition ya 2014 ni kizuri kwa physical geog pia kina topic ya wetlands.
  Kwa practical tumia zisti kamili..
  Ila Human and economics geog tumia pia kitab cha D.T msabila ni kizur na kitakusaidia sana..Pia jaribu na kutafta vitin vya Mtegetwa kwa topic moja moja zilizofafanuliwa.(physical pia na practical geo)
   
 19. WA PATI

  WA PATI Senior Member

  #19
  Aug 10, 2016
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  Si rahisi waandishi wafanane, maana wakifanana huna haka ya kusoma vitabu vingine hivyo soma ili uchambue hats vitabu vya nje vinatofautiana.
   
 20. Amon Mtekateka

  Amon Mtekateka JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2016
  Joined: Jun 4, 2014
  Messages: 1,234
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Ndii vinatofautiana lakn cha umuhmu ni maudhui yanatakiwa yalingane.
  Ata kama mtatofautina katka lugha katka kuelezea jambo
   
Loading...