la fiducia
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 212
- 168
Habari za saa hizi wandugu! Samahani, naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo kozi tajwa hapo juu!
Kozi hii ni moja ya kozi ambayo hutolewa na Chuo cha Diplomasia Dar, es salaam kwa ngazi tofauti ikiwemo Certificate na Diploma.
Kikubwa kilichonifanya nianzishe uzi huu ni...
1: Naomba kujuzwa soko la ajira kuhusu hii kozi.
2: Upatikanaji wa field au baada ya chuo upoje
3: Ni mahali gani mtu anaweza kufanya kazi kwa kusoma kozi hii?
Lakini kubwa zaid ni kujua hasa hasa kuhusu soko lake la ajira hapa Tanzania kwa level za Diploma na Certificate!
Naomba ushauri wenu kwa yeyote mwenye kujua na zaidi ya hayo nilioyaandika!
Nawasilisha.