concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,980
- 15,405
Nina mdogo wangu alimaliza form mwaka juzi akawa amepata four. Nikampeleka chuo kusomea certificate bahati hakufanikiwa kumaliza sababu ya kuugua. Mwaka huu nataka nimrudishe chuo nimeangalia course zote na interest yake ya kupenda kuendesha hasa magari. Nilipomdokezea kuhusu uruban yaan alifurahi sana.
Ndugu naja kwenu ni jinsi gani anaweza kufanikisha ndoto zake. Naamini kuna njia hata ya kupitia diploma kugain commercial aircraft training.
Hata kama sio tz walau hata south africa. Ila cost isizidi usd10000 kwa mwaka kama school fees.naomben msaada wandugu