Bodi ya mikopo

Bodi ya mikopo

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,195
Vyuo vingi wiki ijayo vinafunguliwa tayari kwa orientation program mpaka sasa majina ya watakaobahatika kupata bado inakuaje apo wakuu ????
 
Ndio kinachonishangaza icho ukizingatia wengne bila mkopo duuuh.
Tuna pass like a shadow tu ku come back kwa mtaa kuendelea na milimo
 
Kama unawasi wasi wa kupata mkopo sio lazima uende wiki ijayo, kuna wengine huripot chuon December mwanzon na wanapokelewa

Ila kama unajiamini we nenda kalipe pesa ya usajili tu, fee waambie nasubiri loan
 
Back
Top Bottom