“Once you get your trading plan completed however, and you have a successful track record of six months of solid trading results, lock that plan up and never share it with anyone. Use it to build...
Kwenye maisha kuna kitu huwa kinaitwa mchecheto wa mafanikio.Hii ni ile hali ya kutaka kufanikiwa kwa haraka hasa baada ya kugundua kuwa kama umechelewa,umri umeenda,rafiki zako wanapiga hatua kwa...
Habari watanzania wenzangu matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vema na hapa kazi tuu uko nchini kwetu,
Lengo ni kuwashirikisha na kupata mawazo yenu
Ninazo machine nne za mbao kazi zake ni
1...
Nahitaji kuanza Kulima mbaazi huko Morogoro.
Waungwana, naomba kujulishwa soko la uhakika ntapata wapi?
Na je ni kweli viwanda vya kutengeneza biskuti vinanunua hzo mbaazi?
Naomba kuwasilisha...
Magufuli anaposema watu wameficha pesa ndani hakurupuki.
Jana tumesikia raisi akitishia ku print pesa mpya ili kuwatia hasara wale wanaomuhujumu kwani mazingira yanaonesha kuna watu wameficha...
Habari zenu wakuu..nipo mwanza,nna laki mbili na nusu nataka kuanzisha biashara ya kuuza t shirt za manga zenye ku printiwa log tofauti,,wenye uzoefu na hii kazi ushauri wenu plz..
Kwa manunuzi niliyoyafanya sehemu hizi mbili tofauti ni bila shaka huyu asiyetumia EFD kuna uwezekano akakwepa kodi. Nimefurahi kuona hii risiti moja ya EFD inaonesha amount niliyochangia serikalini.
Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia...
Hey there,
Do you really know you can make money in oil and gas in Tanzania,even you have nothing to sell? Here's how it works.
I've strong feeling you know that some of oil and gas business...
Hivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje?
Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi?
Je...
Kila kitu kinaanza na wazo.
Nimeona ni fursa kuwekeza katika matofari ya block huko Dodoma nikiamin kutakuwepo na ujenzi wa majumba mbalimbali kukabiliana na mahitaji ya majengo mbali mbali...
Habari wakuu
Naomba mwenye ujuzi kuhusu biashara ya ununuzi wa madini ya sapphire na ruby yaani ublocker na ushauri kuhusu uchimbaji wake..e.g vifaa na ufundi wa ziada
Nawasilisha
Jaman nimemalza chuo na natak nikalime ufuta kwetu Songea na Tunduru mkoan Ruvuma , natafuta mtu w kufinance or joint venture , me npo tayari kupiga kaz
Habari za jioni wapendwa, kwa heshima na taadhina ninaomba mchanganuo na ufafanuzi kwa mtu mwenye uelewa juu ya utumaji wa bidhaa ,
Ninaadhimia na kupenda sana kupanua soko langu langu la Nafaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.