Umesomeka kwamba usajili wa biashara umeongezeka sana nchini Rwanda na Kenya hasa kwa wawekezaji kutoka Tanzania na watalaam wa mambo wanaona kama ni kukimbia visasi vinavyo tolewa na serikali...
Great thinkers,
Wenye uzoefu na nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba la taifa NHC watufahamishe, je zina kiwango cha ubora wa kutamani kununua badala ya kujenga mwenyewe?
Nimejaribu...
Nina samaki aina ya Sangara wabichi, nimekuwa nauza ila bei zijaridhika nayo kwa wasafirishaji wanaopeleka Dar ....nataka kupata wanunuaji wangu niwe nawatumia mzigo mimi mwenyewe kiasi chochote...
Za jioni wadau,
Leo nimepatwa na mshtuko na mshangao nilipokwenda TTCL kutuma fax kwenda Antwerp. Niliambiwa hakuna huduma hiyo kwa sababu mitambo mibovu.
Tunajinasibu kwenda mwendo kasi, na sasa...
Kila mlima unaokutana nao mbele yako umebeba Siri ya Mafanikio yako.
Linda Moyo wako "Usinung'unike" Kutokana na magumu unayokutana nayo katika mizunguko yako.
Lakini ufundishe moyo wako Kuamini...
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Dar es Salaam, wenye shida au kuhitaji huduma ya kupuliziwa dawa za kuua wadudu (fumigation), majumbani au maofisini, godown na stoos za vifaa, mazao na...
wakuu habari! Nina wazo la kufungua biashara ya kuosha magari apa dar,je natakiwa niwe na mtaji kama kiasi gani ili niweze fungua medium class carwash. Nawasilisha wadau
UMEWAHI KULIPWA PESA HUKU UKISOMA VITABU ???
(Have you ever earned Big money While Reading Books)
Nimechunguza matajiri wengi zaidi Tanzania na duniani kote kwa kweli nimebaini kuwa wengi ni...
Habari zenu wadau.
Ni matumaini yetu kwamba nyote mu wazima wa afya.
Kwa mara nyingine tena tungelipenda ku-share nanyi juu ya kile kiitwacho Nguvu za Kiushindani Katika Biashara (Competitive...
Ningependa kuuliza ivi kati ya ufuta (wa mviringo) na vireja ambavyo vyote huwekwa dukani na kuuzwa sh 100 kwa kimoja.
JE KIPI KATI YAO HUPENDWA SANA NA WATEJA?
Hivi ni kweli vituo vya Radio na Television vinaendeshwa kwa kutegema matangazo na udhamini wa vipindi tu?
Hivi vituo vingi ni vya watu binafsi tena zaidi ni wafanyabiashara. Sasa kupitia...
Mm kijana niko.Arusha sina kazi ila niko tayari kutoa ushaur au wazo la kuendesha Au kuanzisha biashara Arusha ni mji wenye fursa nyingi ila sisi maskin atuna nyenzo hivyo niko tayar kufanya...
Hivi jamaa wa Nyanza bottles sifa zipi wanahitaj kwa mtu anayetaka kusupply soda as an agent for instance am in Serengeti and i wana be an agent then what i got to prepare also i need to knw much...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
The bias on this pair is precariously bullish. Price came down 120 pips on Friday, in the context of a weak uptrend. A...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.