Habari za jioni wapendwa, kwa heshima na taadhina ninaomba mchanganuo na ufafanuzi kwa mtu mwenye uelewa juu ya utumaji wa bidhaa ,
Ninaadhimia na kupenda sana kupanua soko langu langu la Nafaka...
Sarikali ijiandae kuanzisha usafiri wa uma ili kuondoa usumbufu kwa wananchi na wafanyakazi hii itakuja saidia sana huko mbeleni
Tuchangie kuanzia na njia zipi
With 4m users, Kenya leads EA in access to Internet services
By MICHAEL OUMA
Kenya has the highest number of people accessing Internet facilities and services within the East African Community...
AUS200
Dominant bias: Bearish
AUS200 dipped at the beginning of August, and moved sideways till last week, when it went down significantly. The bias has turned bearish, and unless price goes...
Kuna watu wanawaza mema juu yetu na watoto wetu. Ninashauri tuangalie hii initiative, tuifuatilie ili tunufaike na mali asili zetu!.
Ninaomba tukishaisoma na kuielewa, tumwambie mtu mwingine...
Ni taarifa ya mshtuko mkubwa kama ni kweli, nimepenyezewa hapa kuwa Kampuni ya vinywaji ya TBL-Mwanza inataka kuhamishia Uganda shughuli zake kwa madai kuwa soko la vinywaji nchini limeporomoka...
Salaam wakuu,
Kila siku huwa napita maeneo haya lakini sijawahi kujiuliza swali hili. Bahati mbaya au nzuri tulipita maeneo haya na mdau mmoja tukapata wazo fulani lililopelekea kujiuliza sehemu...
Wakuu
Nina mpango wa kuanzisha Duka angalau linisaidie kuzungusha kamshahara kangu haka ka ualimu.Nahitajiwa nifuate taratibu zipi ili nifungue duka? Pia natakiwa niwe na mtaji wa shilingi ngapi...
Wadau nataka kuanzisha biashara itakayotoa huduma ya kudesign na kuhost websites nimeona godaddy na hostgator wana package ambazo zinakuwezesha kuhost unlimited websites ningependa kujua kama...
Wakuu Amani kwenu..
Tumejipanga na kujidhatiti kwa ajili ya kutoa huduma bora na safi kwa kwa kiwango kizuri.
Si huduma nyingne Bali ni Chips kuku, chips mayai, chips Mishikaki, na vikorombwezo...
Napata shida kujua nani wanapanga ushuru wa magari yanayoagizwa toka nje huwa wanatumia vigezo vipo. Mfano unaweza ukanunua kwa bei mliopatana ukifika nchini wanaikataa bei ulionunulia...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
EURUSD went bearish last week, closing at 1.1152 on Friday. Bulls made serious effort to push price upwards on Thursday and...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 16
“Traditional risk management simply fails to account for the fact that the most dangerous risks are those which occur infrequently and don’t...
Ndugu habari ya majukumuuu?
Jaman mi niliamua kuanzisha mradi wangu wa kufuga wa kienyeji na sasa unaendelea vizur sana...
Nipo katika mpango wa kuuboresha zaidi wa kununua eneo pia na kujenga...
Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa.
Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na...
Mpendwa Ndg kama nilivyo eleza hapo juu, nina kitalu cha Madini Gypsum, ukubwa ni hekari 15 kimelipiwa vibali vyote, nahitaji mtu wa kushirikiana naye leseni tayari ninayo, soko liko wazi muda na...
Gold and Silver and Bitcoin analyses for the month of September 2016.
Please read more here: Monthly Technical Reviews on Gold, Silver and Bitcoin (September 2016)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.