Wafugaji wa Kuku naomba nishauri utunzaji wa rekodi kwa ubora,Ni muda wa Kuachana na Madaftari,Fuga App inakusaidia Kufuga Kisasa na inatumia bando kidogo kuliko Whatsapp
Pakua Fuga App...
Wakuu mambo vipi,
Hivi kwa wale ambao mmefanikiwa kwenye biashara zenu, hiki kiunzi cha kupambana na changamoto ya mtaji kukata mlikiruka vipi ndugu zangu. Ni njia gani mlizitumia ili na sisi...
Wadau, hivi karibuni nimeshuhudia changamoto kubwa ya fedha za sarafu hasa za Tshs 200, 100 na 50.
Biashara nyingi sasa hivi ni ugomvi kutorudishiwa chenji kwasababu ya kutokuwepo na sarafu...
JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI REJAREJA REJAREJA
⚙Mambo Muhimu zaidi ya Kuzingatia kabla ya kuanzisha Biashara ya spea za pikipiki na bajaji rejareja🎯
Ukitaka kuanzisha...
Habari wanajamvi,
Natumaini Jumatatu yako imeanza vyema. Nami pia niko salama. Nimejibanza kwenye kona moja hapa patlivuuu kuandika maneno haya.
Katika pitapita zangu, nlikutana na DukaPro...
Magari ya umeme (EVs) zishatinga Afrika Mashariki: Kenya, Rwanda, Uganda na sasa Tanzania.
Kama upo makini, utagundua zipo nchini tayari: bodaboda za umeme barabarani, guta ndogo za mizigo...
Habari wanajamvi,
Ni jumatano nyingine tena, na nina siku nyingi kweli sijaandika humu.
Katika pitapita zangu, niligundua kuwa wenzetu (Kenya, Uganda na Rwanda) wamepiga hatua kwenye adoption ya...
Mwezi huu peke yake mpaka kufikia Leo nimebadili taarifa za Kampuni 3 Tatu, hizi ni steps nilizotumia kubadili taarifa za Kampuni hizi ambazo ukizifuata utabadiki taarifa za Kampuni Yako ndani ya...
Mamlaka ya Uthibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko Nchini (COPRA), kwa kushirikiana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, imekamata tani 128 za dengu zilizokuwa zikitoroshwa mpakani mwa...
Vitu Vinavyohitajika Kumiliki Kampuni
1. Jina la Kampuni
Kuchagua jina sahihi la kampuni ni hatua ya kwanza muhimu. Jina lako linapaswa kuwa huru kufanya biashara nyingi tofauti chini yake bila...
Wakuu habari za weekend,
Samahani kwa nitakae mkwaza namna yoyote ile. Wakubwa kama mnavyoja dunia ya sasa yataka kupambana kweli kweli. Sasa mwenzenu nimechoka na haka kamshahara ka laki na nusu...
Salaaam Wachumi
Rejea mada hapo juu
Je upi ni uwekezaji ulio bora endapo katika harakat zako za utafutaji ukajaaliwa umeishika 30Mil cash
Na option ukawa umeweka ni hizo mbili kati ya kuwekeza...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) imesaini mikataba minne ya uwekezaji wa utalii kupitia utaratibu wa Uwekezaji Mahiri (Swica) na kampuni ya Kitanzania ya...
#plotforsale #mikocheni #daressalaam #tanzania
KIWANJA KINAUZWA
KIWANJA KIPO REGENT ESTATE DARESSALAAM TANZANIA
UKUBWA WA KIWANJA NI 2,200SQM
KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI KABISA NA KUNA...
Habari wanajukwaa,
Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala...
Hisa za Tanga Cement PLC (TCCL) ziliongoza shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyopita baada ya dili kubwa la mabilioni ya shilingi kufanikisha Scancem...
Wanabodi? Habari ya majukumu? Wakuu, wakongwe, vingunge na wasaka tonge wote! Ninaomba nipate elimu tosha kuhusiana na biashara ya uuzaji wa saruji, kuanzia taratibu Zote kwa hatua ya mfanya...
Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)
Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k.
Nina ujuzi wa IT (Information...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.