Hivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa...
Habarini za Leo wanajumuia? Naombeni mwenye uelewa wa njia rahisi na nafuu kwenye ujenzi wa ghala la kuhifadhia nafaka. Ningependa ushauri wa kuhusiana na vipimo, materials za ujenzi Kati ya...
Habari za wakati huu wana jukwaa
Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji
Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro...
Naomba kusaiwa kuhusu hizi mashine za kuhesabu fedha. Nahitaji kununua lakini sijui aina mzuri na bora na inayodumu kwa matumizi ya wakala na bajeti yangu kati ya laki 5 mpaka milioni moja. Naomba...
Huduma ya catering service ni miongoni mwa biashara zinazokua kwa kasi kutokana na ongezeko la sherehe, semina, mikutano, harusi, na matukio mbalimbali. Hata hivyo, changamoto kubwa kwa wengi ni...
Baada ya kukutana na mjadala wenye kichwa cha "Mnatumia program gani ku-manage biashara" niliona jibu la mtu aliyesema anatumia programu ya Gavana. Baada ya kusoma maelezo yote kwenye hiyo thread...
🤔 Swali hili ni la kawaida sana miongoni mwa wengi wanaotamani kuingia katika sekta ya huduma za chakula. Jibu ni la kuvutia na la kushangaza kwa wakati mmoja.
🙆♂️ Ukweli ni kwamba: Biashara ya...
EE Bwana ee Nina Kama Sheena ya karatasi ambazo unaweza kutumia Kama recycling kutengeneza tissue paper au matumizi mengine Kwa wanaoitaji muhimu NI kuelewa NI kitu gani ninauza .hizi karatasi sio...
Hivi ni kwa nini mpaka sasa tunategemea Flow Meter moja tu kwa ajili ya kupakua mafuta ya petrol/diesel pamoja na mafuta ya kula?
Kwa nini wahusika wasiweke flow meter pia katika bandari zetu za...
Biashara Gani Unaweza Kuanza na Milioni 1 au Chini Ikakulipa kwa Kudumu Tanzania?
Katika hali ya sasa ambapo ajira zimekuwa adimu na mfumuko wa bei unaendelea kukua, vijana wengi wanatafuta njia...
Mko poa maboss zangu..
Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa.
Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani.
Bei hutokana na ukubwa uutakao boss..
Za kuhamishika zinazobeba...
Habari,
Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu.
Katika mchakato wa kuagiza au kununua gari Toka nje ya nchi kama vile Japan China marekani Dubai...
Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio...
Habari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate...
BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA UKIWA USWAHILINI
Idadi kubwa ya watu wanaoishi uswahili hushinda nyumbani muda mwingi, shughuli zao nyingi si rasmi, wengi wanajihusisha na biashara ndogo ndogo na kazi...
Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi Nina ujuzi wa IT (information Technology) na digital marketing, graphics design pamoja na kusimamia akaunti zako za...
Waandaaji wa matukio (event planners) hupata mapato yao kupitia njia mbalimbali za kitaalamu ambazo mara nyingi hazijulikani wazi na watu wengi. Mfano:
1️⃣ Ada ya ushauri (Consultation fee) –...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.